Kama ilivyo kwa yule ngedere huko yukrein wali mtoa kutoka kwenye fani yake ya uchekeshaji wakampa madaraka ya kuongoza nchi mwisho yukrain inawaka moto na ardhi ina megwa kwa ajili ya mjinfa mjinga comedian 😆 😄
Kama una jijua nchi yako imekubali kuweka kambi za kijeshi za marekani wewe ni halalali yako kula kipondo cha mabomu kutoka irani kama hupendi klipuliwa na mabomu ya irani ondoa kambi za marekan kwenye nchi yako usiwe chawa wa marekani
Kwa hiyo unge Acha kambi za Marekani zilizopo hapo Qatar na Oman ziendeleee kutumika kuishambulia nchi yako wewe kama mwana mikakati wa mchongo kutoka mbagala kimbangulile
Ishu sio Trump...
Huo ni mfumo wao tokea marekani ipate uhuru mwaka wa 1776 kutoka kwa wafaransa na uingereza
.....nchi ya marekani inaendeshwa kupitia vita ......
Ni sawa na tanzania vijana wanaandamana wakisema mama samia must go huku wamesha sahau bila kuuondoa mfumo wa CCM bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.