Recent content by UPIMAJI NA RAMANI

  1. UPIMAJI NA RAMANI

    JamiiForums Tanzania Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

    Pole sana, Wakati unaendelea kutafuta ufumbuzi zaidi wa tatizo lako jitahidi uwe na vyuma vya kufanya mazoezi ilikuweka mwili sawa madhara ya kukabwa na kukandamizwa usiku yanaleta magonjwa.. Na uchovu ambao utakufanya usijishughulishe na kazi yoyote kukicha, ukiamka mapema fanya mazoezi...
  2. UPIMAJI NA RAMANI

    JamiiForums Tanzania Zingatia haya kununua kiwanja ili kupunguza utapeli

    Safi [emoji1479].
  3. UPIMAJI NA RAMANI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Daah![emoji23][emoji23][emoji23]
  4. UPIMAJI NA RAMANI

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwekeza kwenye Ardhi usiyo ijua?

    USINUNUE ARDHI BILA KUWA NA MAJIBU YA MASWALI YA FUATAYO. 1Je eneo limepangiwa matumizi gani kitaalamu? isije ikawa unanunua eneo la makaburi au viwanda na wewe una lengo la kufanya makazi, itakula kwako. 2Je eneo linasifa ya kupimika iliupate hati miliki? 3Je eneo husika lilishawahi kupimwa au...
  5. UPIMAJI NA RAMANI

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuwekeza kwenye Ardhi usiyo ijua?

    Kwako Mwananchi, Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au kiholela. Mfano ( A) Imezoelekea kununua eneo la Ardhi kwa kushirikisha Serikali ya mtaa...
Back
Top Bottom