Kaka asante sana kwa hizi info hakika umesema kweli maana hata mimi mwenyewe ni mfugaji na mfanyabiashara wa hawa wanyama. labda la kusisitizia kwa wadau ambao nao wangependa kuanza mradi wa aina hii ni kuwa ni muhimu kujenga relationship na daktari wa wanyama hao ambaye anaweza kuwa anapita...
Hongera Mhe Makamba, thou kama mbunge sijui ulikuwa unashirikishwa kwa kiasi gani katika utekelezaji wa mradi huu tangu mwanzo!! Maana km ungekuwa umepewa fursa ya kuhudhuria vikao vya maendeleo ya mradi ingesaidia kuyatambua haya yote mapema na hivyo negative impacts zisingekuwa kubwa km...
Mtoa mada mbona sijakuelewa is there any relationship between your topic and this statement of yours "Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Tanzania..."
Mtoa mada mbona sijakuelewa is there any relationship between your topic and this statement of yours "Mungu ibariki Chadema, Mungu ibariki Tanzania..."
Jana Madrid waliwazidi mbinu Barca, Nadhan the special one alifanya home work yake vizuri kuusoma udhaifu wa Barca na kuhakikisha timu yake inautumia huo udhaifu. Hata hvyo niliipenda chenga aliyopigwa C. Puyol na Di'Maria wakati wa harakati za goli la pili.
Nadhani ni kumuomba Mungu tu akupe kiatu cha size yako maana wanadamu ni wazuri wa ku'pretend unaweza ukaja na ka'checklist kako ukamuona mtu anafaa kwa vigezo vingi lakini kumbe muda wote alikuwa anakuchora then mnapoingia ndani ndo muziki ukaanza!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.