niliongea na DG mmoja anayepekeka watu nje masomoni aliniambia vijana wengi waliosomea hzo course wapi jobless kwn nje hawachukuwi kwa sababu ya usalama wa nchi I am tired
shukrani kwa ushauri locomotive course ni mambo ya train au nimeelewa tofauti, naweza pata contact ya mtu wa aircraft au pilot if any niwasiliane nae natanguliza shukrani in advance
Hello wanachama wenzangu habari za leo,
Kijana wangu anapenda kusomea Aircraft Eng au U pilot, kwa sasa sina hakika na suala la ajira kwa hapa nyumbani na kuna mtu ameniambia hata nje ya nchi ni ngumu kupata kazi kwa sababu za kiusalama, naomba kujuzwa je, ni kweli ajira ni tatizo hapa kwetu...
Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nimepatwa na changamoto ya kushindwa kulipia malipo mtandaoni kupitia visa card, nimetumia card ya TIGO,VODA na CRDB lakini nimeshindwa kufanikiwa kwa muda wa wiki moja sasa hata hivyo mwanzoni malipo yalikuwa hayasumbui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.