Safi sana...Nimeipenda..naamin tutashauriana vingi na sote tutaenjoy na mbwa wetu...japo sijajua nawezaje kuliaccess hilo group....naomba unielekeze namna ya kujoin na kuchangia kene hilo group. Asante.
Yap naungana na ww kaka...hata yule dr. Alisema kuwa huu ni ugonjwa mbaya sana..alaf kuna mtu juu aliniuliza km niliyemleta amtibu alikuwa ni dr.kwel au kishoka...huyu ni dr.wa wanyama aliyesomea kabisa na amefanya kaz kwa zaid ya miaka 20 na bado anafanya ...km ww ni mkaz wa maeneo ya Sinza...
Kama hujui kitu sio lazima kuongea....na km ungekuwa unafahamu aina za mbwa ungekuwa umeshanielewa... by the way hakuna sehemu niliyosema mbwa wangu hakuwa wa kawaida...au kuna sehemu nilisema ana miguu sita tofaut na wengine...???? Au ndo wale wa kufos kuchangia mada hata km hauna uelewa...
Asanten kwa ushauri...mbwa wangu alikuwa anaitwa "chief" amefarik...leo nimetoka kazin nikapewa hyo taarifa...imeniuma sana yan. Coz Chief alishakuwa part ya familia. But natafuta mwingine. Na nimejifunza kitu na hata kwa wengine pia....kuwapa mbwa chanjo mapema iwezekanavyo...usiseme nitampa...
Habari wanajamvi. Mimi nina umbwa wangu aina ys Germany S. ana miez 3, kwa bahat mbaya sikuwa nimemchoma chanjo ya pavo ila za minyoo nilikuwa namchoma. Sasa hv anaumwa na kuna daktar nimemwita amesema ni pavo...coz alianza kuwa mpole juz na jana akawa anaharisha minyoo na kutapika...then jion...
Mkataba uko kwenye hard copy na ni page 8...so sijui niuekeje hapa sasa....bt labda nijaribu kupiga picha sehemu tu za mkataba huo then nieke hapa...ila hazitokuwa na quality nzur...
mmmh nadhani i hav tatizo km hilo ila tofaut ni kuwa mm sitapiki...bt hata bb yangu mzaa mama yupo na ana tatizo km langu....ni hv, mm nikipata mshtuko au taarifa yote mbaya tumbo linauma hapo hapo na lazma nitaenda toilet coz naanza kuendesha ghafla....mf nilipokuwa chuo matokeo yakitoka lazma...
Google restless development tanzania then nenda sehemu ya jobs / work with us....hawa jamaa wanatoaga chans ya kuvolunteer kwa form six leaver bt kuna allowance unakuwa unapewa....ni nzur coz hata mm nilipomaliza six nilifanya nao for 5 months had chuo kilipofunguliwa....ni nzur sana km sikosei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.