Recent content by Unum

  1. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Protase Rugambwa avishwa hadhi ya Ukardinali

    Washawahi kutokea afrika
  2. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Protase Rugambwa avishwa hadhi ya Ukardinali

    Tanzania tumebahatika kupata makardinali watatu lakini waliopo ni hao wawili baada ya kardinali wa kwanza mwafrika kufariki lakini hao wawili waliobaki wanaruhusiwa kwenye conclave yaani wana hadhi ya kumchagua papa na wao kuchaguliwa kwasababu ya umri wao ni chini ya miaka 80 kadiri ya sheria...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Protase Rugambwa avishwa hadhi ya Ukardinali

    Ukardinali haurithishwi na wala haumaanishi una hadhi ya kuwa majimbo makubwa tu hapana. Hicho ni cheo cha hadhi ya ushauri kwa baba mtakatifu na si sehemu ya madaraja ndani ya kanisa yaani ushemasi upadre na uaskofu
  4. U

    JamiiForums Tanzania Askofu Protase Rugambwa avishwa hadhi ya Ukardinali

    Cardinal electors ni wawili yaan wanaoruhusiwa kumchagua papa au kuchaguliwa kwani wana umri chini ya miaka 80
  5. U

    JamiiForums Tanzania Advance Physics ilivyokuwa inatugeuka ndani ya chumba cha mtihani

    Umenikumbusha Ifunda Technical hapo nilikutana na Mzee Sarwatt anakwambia hyo imeisha halafu ukienda kwenye pepa unakutana na maswali magumu balaa
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tukio gani hutokaa Ulisahau Chuo Kikuu au Shuleni!?.

    Nakumbuka siku ambayo headmaster alikuja ucku bwenn kuja kuvizia vijana wasioenda prepo. Kilichotokea alipofika mlangoni akashangaa taa za dom zimezimwa ghafla na nikamfunika kwa blanket wakati anahangaika kutoa akapigwa ngwala akaanguka wadau tukasepaaa yeye akabki kusema washenziiiii sanaaa...
Back
Top Bottom