Mimi nilkuwa mtaalam Wa mathematics primary na olevel,nkapangwa arusha tech nikawa nasoma mifano ya mwalimu tu kwenye topic ya differentiate na nini huko nikawa naona wengne tukiwa vyumban muda wote wanakomaa na mathematics nikawa najiulza wameshndwaje kuelewa haraka,ulipo fika mtihan nkakutana na concept tofauti za maswali wakat topic n ile ile
Advance kwa ujumla kwa comb za PCM, PCB, PGM huwa inashika watu sana...Kuna jamaa alikuwa anatufundisha physics secondary yupo vzuri sana,ila tulipokuja kuuliza tukaambiwa form six PCM alichemka hakuvuka alifeli.basi niliogopa sana kwa hizi stories nikaona isiwe tabu nikamuacha pwana physics...
Wengi tuliacha kwa sababu tunaona waliopiga one kali o level tunaambiwa walifeli physics A level.Advance kwa ujumla kwa comb za PCM, PCB, PGM huwa inashika watu sana...
Unakuta mtu katoka o-level na One kali, akija Advance anashikwa anaishia kupata three au four.
Ukikomaa na ukiwa strategic, one kuipata ni rahisi sana Advance.
Ahhaha acha unoko mkuu.Kisha tunaanza kusumbuana qualification za kujiunga na masomo ya afya.
Usimsikilize huyo.My broo hadi Leo anajuta kusoma Hyo kitu ilivo mfanya advance akaniambia Dogo usije waza kuisoma hyo ktu
Ahhaha acha unoko mkuu.
Haya masomo ni magumu, ugumu wake unafuatana na jinsi yalivyo pangwa mfano PCM, PCB
Phys ni kitu kingine mkuu, usicheze nacho wala kukichekea
Ni kweli mkuu,niliwahi waza sana hii kitu.Hii hutokana na walimu wabovu
Vitabu vibovu
Mazingira mabovu ya kusomea
Mwanafunzi unampa mgote physics asomee , what do you expect kama uwezo wake ni mdogo
Only failures na atafeli
Walimu wanalipwa mishahara midogo unategemea , mimi niliyepata A ya physics nije kufundisha niache kazi nyingine
Ualimu ni kama umewekwa kana kwamba ni kwa watu waliopata two na three , unategemea maajabu gani toka kwa mtu aliyepata D Ya physics
Unataka aje alete A
Ukweli mchungu lakini lazima tuukubali
Tuwaheshimu walimu wetu , lakini govt iweke jicho la tatu hapa kwa kuboresha maslahi ya ualimu wanafunzi waliopata ufaulu wa juu wavutiwe pia na hapa
Walimu kwanza wanafundisha bila motishaNi kweli mkuu,niliwahi waza sana hii kitu.
Mimi nakumbuka kulikuwa na mhasibu mmoja wa wilaya ni jirani yetu huyo ndo alikuwa anatufundisha physics,mathe na bios alikuwa anaipata vyema sana..
Ila nikaanza uvivu nikawa naenda kusoma bios tu nikaambulia ka C o level kutokana na uvivu wangu.
Nilikuwa najisemea kwamba mtu aliepata D ya hesabu form four hawezi kukupatia A wewe.
Nikawa nakimbilia kusoma kwa hao jamaa ambao walipita vizuri huko nyuma.
Dah lakini pia mkuu.Pia wanafunzi wanahitajika kuwa commited
Mtu swali la projectile , limemshinda siku moja , ndo basi analiacha
Huo ni ujinga haitakiwi iwe hivyo
Kuna maswali nlkua nasolve hata miezi mitatu ndo napata solution yake
Somo sio gumu kama mtu ataamua kuws commited
Sasa mwanafunzi wa sasa anasoma huku anawaza wangapi wamelike picha yake fb au insta
What do you expect there more than ....
Madogo watulie wasome , mbona madogo wangu mzumbe na marian wametulia na wana score fresh sana
Mkazie mkuuDah lakini pia mkuu.
Motivation muhimu sana kwa wanafunzi.
Nina mdogo wangu yeye yupo form one tu mwaka huu lakini eti ananiambia "kaka naskia watu wansema physics somo gumu sana hapa sekondari"
Nikamuambia hakuna somo gumu hata kidogo,hizo ni stori za watu tu,nikampa maneno mengi sana ya kumpa moyo.
Nikamuambia wewe jaribu kusoma kila unachofundishwa hapo shuleni katika masomo alafu uelewe na mtihani uje hapo hapo kwa topic mlizosoma tuone kama kuna ugumu.
Japokuwa form one masomo mepesi lakini kwa kumhamasisha kule dogo ananiambia ame score 100 kwa 100 physics na amewaacha wenzie mbali kdogo..
Nikamuambia "ugumu inaanzia katika akili zetu"
Dogo saivi anasoma sana nategemea mazuri kutoka kwake...
pia hongera kwa kumsimamia mdogo wetuDah lakini pia mkuu.
Motivation muhimu sana kwa wanafunzi.
Nina mdogo wangu yeye yupo form one tu mwaka huu lakini eti ananiambia "kaka naskia watu wansema physics somo gumu sana hapa sekondari"
Nikamuambia hakuna somo gumu hata kidogo,hizo ni stori za watu tu,nikampa maneno mengi sana ya kumpa moyo.
Nikamuambia wewe jaribu kusoma kila unachofundishwa hapo shuleni katika masomo alafu uelewe na mtihani uje hapo hapo kwa topic mlizosoma tuone kama kuna ugumu.
Japokuwa form one masomo mepesi lakini kwa kumhamasisha kule dogo ananiambia ame score 100 kwa 100 physics na amewaacha wenzie mbali kdogo..
Nikamuambia "ugumu inaanzia katika akili zetu"
Dogo saivi anasoma sana nategemea mazuri kutoka kwake...
Kabisa mkuu pa1.pia hongera kwa kumsimamia mdogo wetu
Ni kitu kizuri
Huo ndio undugu wa kweli ....Kabisa mkuu pa1.
Namjengea mapema.
Ninachohisi ambacho nilikikosa basi najitahidi kumpatia,ikiwepo motivation na huduma za kimasomo....