Kwa maono yangu ni kwamba hali halisi ya maisha ndio inatufikisha hapo wengi kuonekana wakorofi,mfano unaazima 10000 na unaahidi kurudisha baada ya siku tatu,umetafuta umepata kweli hiyo 10000 lkn tatizo lilopo mbele linapita 10000 unachofanya ni kitatua shida iliyopo kwanza mezani na kiemdelea...
Watanzania c wajinga kiivyo,kwan wameamua na ukawa wanavuna walicho panda ni mara ngapi tumewashauri umu jf,ukawa bado vichwa maji.usilaumu ulipodondokea laumu ulipojukwaa.
Ndugu wana jf naomba munijuze (kwa mwenye kujua) nchi etu tz kwa sasa iko ktk mfumo upi kati ya hiyo miwili inayotamalak kwa sasa ulimwengun,na kwa sasa tunahitaji tuwe na mfumo upi.
Ni sawa kabisa,hata lile tunda likidondoka ktk mti wake mbaya nalo huendelea kuwa baya tu ata kama likiwekwa kwenye fungu la matunda mazuri,yatanunuliwa mazur tu baya likaachwa na kuoza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.