Positioning
Sijaona ubunifu hata chembe kwenye hiyo jezi, japo mimi ni Muislam ila sina tatizo na huo Msalaba kwa sababu imani ya Mja ipo Moyoni mwake na siyo kwenye vazi, bali pia vazi ni sehemu muhimu ktk imani ya Mtu kwa hiyo kwa nchi Neutral kama Tanzania kulikuwa hakuna haja ya kuweka...
Nachelea uwezo wako, Una mada ya Msingi ila umetumia maneno yenye kuogofya yanayoweza kusababisha hofu kwa wananchi badala ya kufikisha dhana yako kwa hadhira uliyoikusudia. Mara nyingine andika kitaaluma, mfano watu wanaouawa na polisi leta namba na mifano, lini na wapi na sababu gani...
Tunatofautiana namna ya kufikiri na kuhukumu, naheshimu sana kutofautiana huko, ila nina yakini kwamba Mhe. Rais anamaanisha kwamba kama njia sahihi ya kufikisha dukuduku zao ipo wasitumie njia zisizo sahihi, mitandao ya kijamii siyo sehemu sahihi ya viongozi wa hadhi ya kibalozi kutolea...
Mfalme hawezi kuwa kiongozi wa waislam ndugu yangu, Wakati Mtume Muhammad(SAW) anapewa utume ibada zenye kumfuata baba yetu wa imani (Ibrahim) zilikuwa zikifanywa kuelekea Baitul Maqdis Palestina, baadaye Qibla kikageuzwa na kuwa Alqaaba, unaweza kuona uhamaji wa eneo na utume katika nyakati...
The Custodian of the Two Holy Mosques ni kwa mujibu wa sheria zao za Utawala wa kifalme, yeye mfalme kama kiongozi wa nchi, siyo kwa mujibu wa maandiko matakatifu ya Quran na Sunna. Soma ujue mambo kisha eneza ujuzi wako, taifa la kiislam huwa linaongozwa na kiongozi mkuu aitwaye "Khalifa" na...
Watanzania tukijifunza kukubali ukweli tutanyanyuka, na endapo Walioelimika wachache miongoni mwa waliosoma wengi watakuwa waadilifu basi tutakuwa na uhuru wa fikra na tutawaongoza Watanzania wenzetu wengi kuelekea mafanikio kama taifa. Kulikuwa na habari ya kupandishwa mishahara miaka michache...
Siku nyingine ukiandika tumia akili ili ueleweke na mantiki yako isiwe na chembe za ushabiki, kwani saa 21 haziwezi kukutoa mwezi March hadi mwezi April?
Siku zote lazima kuwe na kikundi cha Watu ambao wanajenga pale Wenzao wanapovunja, naungana na wewe ndugu yangu
Phillemon Mikael kujenga pale ambapo waovu wameamua kuvunja, Mbinu za Hila na Uovu wa CHADEMA Inshaallah zitashindwa, mimi binafsi nilitegemea mipango miovu kama hii na zaidi ya hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.