Recent content by Unplaned One's

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Nimeambiwa na RITA kuwa hadi j5 au alhamic ndo kitakuwa teyar so sielew itakuwaje.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Tuliochaguliwa UDOM tukutane hapa

    Je nikija cna cheti cha kuzaliwa naweza nikakataliwa kusajiriwa maana kinazngua kiukweli
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani wale wa udom special diploma in education

    Jamani wana jf tafadhali nawaombeni mnipe taarifa kamali kuhusu join instruction za udom kama zmetoka au la maana wa2 wengne wanasema zmetoka sasa kama ni kweli tunazpataje! please wanajamiiforum
  4. U

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa kujiunga na Stashahada ya Elimu 2015/2016-UDOM

    Mbona Ukilog In Katka Admission Laters-alis Haifunguk Mkuu
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ordinary diploma in primary educatin 2015/2016

    Waliochaguliwa program hii Udom 2kutane hapa tujadili mambo yanayotuhusu
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ordinary diploma in primary educatin 2015/2016

    Waliochaguliwa program hii Udom 2kutane hapa
  7. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya UDOM je Safari nyingine Zipo?

    Na vp kuhusu mkopo 2tapata
  8. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya UDOM je Safari nyingine Zipo?

    Kwanza join instructions zimetoka? Wakuu maana naona wanaongeza mda 2 wa kuthibitisha baada ya kutoa fomu za kujiunga
Back
Top Bottom