Recent content by Unnamed

  1. Unnamed

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata Magari takribani 53 yasiyo na mwenyewe, IGP alaumiwa Mikataba ya Lugumi

    Wakati wa kukamata vichwa vya treni visivyo na mwenyewe hakuona magari maana yapi kigambo. Aende na airport atakamata na ndege zisizo na mwenyewe. Hizi Sanaa tumezichoka
  2. Unnamed

    JamiiForums Tanzania Bandarini Dar: Rais Magufuli akamata Magari takribani 53 yasiyo na mwenyewe, IGP alaumiwa Mikataba ya Lugumi

    Hivi vile vichwa vya treni visivyokuwa na mwenyewe baadae iliundwa kamati ya kutafuta mwenyewe hata haya magari itaishia hivyo hivyo
  3. Unnamed

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, ashauriwe aache kuchomeka chomeka maneno ya kizungu katika hotuba

    Wale mliosoma zamani miaka ya sabini mtusaidie. Mbona huwa mnajigamba kuwa mnajua kingereza tena cha malikia sasa kwa mtukufu ni kinyume? Au kuna wengine wamo
  4. Unnamed

    JamiiForums Tanzania Rais nakubaliana nawe, usiwaite Ikulu sababu hawana hadhi!

    Kweli ni wa kipekee. Tukija stuka itakuwa too late
  5. Unnamed

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli - apata dawa ya msongamano wa jiji la Mwanza

    Hivi kile cha MV Daressalaam kilipelekwa wapi vile? Siku si nyingi hichi nacho kitakuwa kifaa cha kivita
  6. Unnamed

    JamiiForums Tanzania Kigugumizi cha Spika Ndugai kuhusu maamuzi ya mahakama ya wabunge 8 wa CUF kinatoka wapi?

    Mission already accomplished sasa wanaweza kubaki na uanachama wao
  7. Unnamed

    JamiiForums Tanzania Kibiti, Pwani: Majambazi yaua Askari Polisi NANE(8)

    Nakumbuka siku niliyobambikiwa kesi Na polisi niliwekwa mahabusu nakuteseka Sana kwakweli mpaka Leo inaniuma sana
  8. Unnamed

    JamiiForums Tanzania World Bank: Uchumi wa Tanzania unaporomoka kwa Kasi!

    Tanzania's economy slowed by credit squeeze, uncertainty over
  9. Unnamed

    JamiiForums Tanzania World Bank: Uchumi wa Tanzania unaporomoka kwa Kasi!

    Tanzania's economy slowed by credit squeeze, uncertainty over
  10. Unnamed

    JamiiForums Tanzania World Bank: Uchumi wa Tanzania unaporomoka kwa Kasi!

    Tanzania's economy slowed by credit squeeze, uncertainty over
  11. Unnamed

    JamiiForums Tanzania UKAWA wagomea mwaliko wa CCM

    UKAWA ni chama gani
  12. Unnamed

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Kikwete akijiongezea muda hatutakubali, nchi itawaka moto

    Sidhani kama ni busara kumuongezea muda. Endapo italazimika kusogeza uchaguzi basi awepo Rais wa muda (mpito)
Back
Top Bottom