Recent content by unlucky

  1. unlucky

    Singo original

    Ni nzuri kwa ajili.ya kuscrub kw atakaehitaji
  2. unlucky

    Naomba kueleweshwa mambo kadhaa kuhusu usafiri wa treni

    Habari zenu ndugu zangu poleni na misukosuko ya hapa na pale. Naomba nijue kuhusu usafiri wa treni kwa Dar es salaam utaratibu unakuwaje mfano Dar kwenda Mwanza inakuwa bei gani na inachukua siku ngapi au masaa mangapi na je usafiri w treni ni salama na tiketi yake unakatia wapi manake sijawahi...
  3. unlucky

    Njia za Asili za Uzazi wa Mpango (Natural birth control methods)

    Habari ndugi zangu Naomba ushauri juu ya uzazi wa mpango ni njia gani nzuri na isiyokuwa na madhara kuna kila njia wamama wanatumia kijiti kitanzi sindano na vidonge kwa waliotumia je mmeonaje?
  4. unlucky

    Mwanamke aliyejifungua anatakiwa akandwe maji ya moto siku ngapi?

    Nimejifungua lakini mtt bahati.mbaya alifariki tumboni
  5. unlucky

    Mwanamke aliyejifungua anatakiwa akandwe maji ya moto siku ngapi?

    Habari zenu? Naomba kuuliza: Kwa akina mama waliojifungua mwanamke anatakiwa akandwe maji ya moto siku ngapi? Naomba ushauri jinsi ya kujiweka vizuri wakati ushajifungua.
  6. unlucky

    NSSF kuna shida gani tangu nifunge akaunti mwezi wa sita hadi leo sijapata kadi yangu

    Naomba na mie nifahamishe niende wapi ubungo wanasumbua sana
  7. unlucky

    NSSF kuna shida gani tangu nifunge akaunti mwezi wa sita hadi leo sijapata kadi yangu

    Habari ndugu zangu Mimi naomba msaada kama kuna mtu anafahamu atakaenisaidia. Mimi nilienda Ubungo Plaza pale NSSF kufungulisha account tangu mwezi wa sita mpaka leo kila nikienda naambiwa kadi yangu bado NSSF wanasema mashine zimeharibika wakati wengine wanapata sielewi tatizo ni nini naomba...
  8. unlucky

    Msaada wa kisheria

    Mwanaume ana roho mbaya huyu nimejaribu sana kuongea nae vizuri lakini yuko na jeuri sana mie naamini serekali itanisaidia kwani wngapi wamesaidiwa wtt wadogo bado 12,10,8 wa miaka hiyo
  9. unlucky

    Msaada wa kisheria

    Nimejua kw sababu watoto mama angu amewapigia simu na mie nimeonge nao n mpaka bibi yao wamemwambia
  10. unlucky

    Msaada wa kisheria

    Kwanza kabisa mie nilikuwa mama w nyumbani tangia kaniacha hakunisaidia na wala hakunipa chochote unaweza ukaangalia historia yangu ipo hapa jamii forum naishi na mama kaka ndo ananisaidia na wanangu huyu bwana alikuwa hawapi gharama z chakula wala mavazi shule peke yake alikuwa analipa mpk...
  11. unlucky

    Msaada wa kisheria

    Unayesema nimempanulia angalia lugha yako kwani unapokuwa mke wa mtu si ndoa halali sikuenda nje kuwapanulia hapa nimekuja kuomba msaada sio kusikia hayo unayoongea n huyu si mume wngu ni x sasa tulishaana mda miaka minne
  12. unlucky

    Msaada wa kisheria

    Habari zenu ndugi zangu naomba. Msaada wenu mtu wa kunisaidia kwenda mbele kwenye serekali Mimi ni mtanzania nina. Watoto watatu ambao nimezaa na mume ambae ni foregnor wa nchi ya pkistan na ambae nishaachana nae sio mume wangu tena leo. Miaka minne sasa kawachukua wtt huko kwao leo miezi...
  13. unlucky

    Msaada wa kisheria ili ahudumie watoto

    Kweli unayosema na nimefanya hvy leo miaka miwili lakini zulma. Inazidi nifanyeje hana ukarimu huyu bwana ananikomoa anawapa tabu wtt ana haribu elimu yao mie pia sipendi kuhangaika ila naona kazidi atleast awe na huruma lakini hana
Back
Top Bottom