Hii nchi imekua ya ajabu sana, halafu kuna yule pimbi amevimbiwa maharage na asali anasema bungeni kuwa vijana wote wa Tanzania wana mikopo.
Nchi haitangazi ajira yoyote zaidi ya week. What’s wrong with us?
Wewe kilaza, Rwanda wanatangaza utalii katika majukwaa mbalimbali sio Royal Tour ya Greenberg tu. Mheshimu Kagame anatumia akili na ushauri wa wataalamu sio wapiga debe wa pongezi, pongezi, pongeeezi.
Waasalam,
Mada za fao la kujitoa sio ngeni hapa jukwaani. Mei mosi ndio siku MH SSH atazungumza na taifa hasa masuala ya ajira, kujiajiri na mustakabali mzima wa taifa hili kwa hali ya sasa ambapo maisha yamepanda ghafla.
FAO LA KUJITOA linaweza kuwa suluhu ya vijana kujiajiri. Hii ni mitaji...
Waasalam!
Hili ni ombi muhimu sana kwa Rais wetu mpendwa, anairudisha nchi katika muelekeo sahihi basi na sie vijana tulio sekta binafsi ambao tunatamani kujiajiri tunatamani sana fao la kujitoa lirudi ili angalau tupate mtaji wa pa kuanzia.
Sio wote tunatamani kuajiriwa mpaka miaka 55 - 60+...
Salaaam!
Vita ya Urusi na Ukraine imeanza tayari na mashambulizi ya makombora yanaendelea kutoka maeneo tofauti tofauti ya nchi.
Wizara ya mambo ya nje ipo kimya ni kama hakuna Watanzania wanaoishi Ukraine na Urusi. Je hali ikiwa mbaya Wizara na nchi ina mpango gani wa kuenda kuwaokoa raia wa...
Wa-Salaaam!
Katika hizi siku kadhaa nimeona matangazo ya Halmashauri mbali mbali zinatafuta vijana kufanya shughuli ya anwani za makazi na postikodi. Kwa kweli muitikio ulikua ni mkubwa sana, kwa macho yangu nimeshuhudia sio chini ya bahasha 5000 - 6000 kwa kazi wanayohitajika vijana 250 wenye...
Katika madahalo wa Twitter Spaces wa Maria Sarungi, Tundu Lissu ameongea mambo mengi juu ya duru za siasa ya Tanzania na mistakabali wa chaguzi ya 2020 na nini kifanyike kabla ya 2025.
Likaja swali, je ni kwa namna gani tutaweza kupata tume huru ya uchaguzi na kuwa na chaguzi huru kwa maneno...
Nitoe hongera za dhati kwa waziri wa Tamisemi kwa kushiriki kikamilifu na kusikiliza mijadala ya wananchi mbalimbali hapo clubhouse.
Umekua muwazi kuwa ni mara ya kwanza kwako kutumia clubhouse, mimi binafsi nimefarijika sana mtunga sera akishiriki pamoja na wananchi.
Natamani kuona Rais Samia...
Nitoe hongera za dhati kwa waziri wa Tamisemi kwa kushiriki kikamilifu na kusikiliza mijadala ya wananchi mbalimbali hapo clubhouse.
Umekua muwazi kuwa ni mara ya kwanza kwako kutumia clubhouse, mimi binafsi nimefarijika sana mtunga sera akishiriki pamoja na wananchi.
Natamani kuona Rais Samia...
Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako"
Nikajiuliza...
The price we pay: Targeted for dissent by the Tanzanian State - Amnesty International.
As long as I am quiet, I am safe: Threats to Independent Media and Civil Society in Tanzania - Human Rights Watch.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.