Wasomi wetu wanaoponda "Royal Tour" wana lao jambo

Kuna kisa kimoja niliwahi kusimuliwa na rafiki yangu kuwa kuna mpishi mmoja alipika donati kisha akawaalika Maprofesa na Madokta wa Chuo Kikuu kimoja cha Afrika waje kula. Chakula kila kilikuwa kigeni kwao kwa Maprofesa wale waliozoea kula maandazi. Basi baada ya kumaliza kula, akawauliza, mnakionaje chakula changu?Basi akasimama mmoja wao mwenye kuheshimika, akasema hili ni andazi ila umekosea katika mapishi yako kuna tundu katikati

Hao ndio baadhi ya Wasomi wetu wa Kitanzania wamekuwa na tabia chafu ya kuponda ponda kila juhudi inayofanywa na viongozi wetu katika kutuletea maendeleo, hawawezi kuona jema lolote.linalofanywa.
Ukisoma website ya US GOVERNMENT inaeleza kuwa kwa mwaka 2016, sekta ya utalii nchini Rwanda ilichangia 47% ya GDP na kuingizia nchi mapato ya pesa za kigeni karibia $390 million. Tanzania yetu yenye vivutio vya Utalii kedekede, kochokocho kupita nchi ya Rwanda kwa mwaka 2020 mchango wa utalii kwenye GDP ni 5.3%.

Anatokea Rais wetu Mama SAMIA Hassan Suluhu anaamua afanye Royal Tour ili kukuza sekta ya utalii, anajitokeza msomi wa Chuo Kikuu mwenye kuheshimika anaponda, Ooh...Bora Bongo Movie wangefanya, Oooh Utalii tayari unajulikana toka zamani...Daah ndio maana Mbunge Kishimba kutwa kucha bungeni anawananga wasomi wa Kitanzania.
Huyo mhariri wa Royal TOUR aliyetumiwa na Rais wetu Bwana Peter Greenberg’s ana uzoefu uliofutu ada, amewahi kufanya Royal TOUR na Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu na King Abdallah of Jordan pia na Rais Kagame wa Rwanda. Hivyo wasomi wa nchi zote hizo hawajaona madhaifu yake, ila wasomi wetu wa TZ ndio wameona mapungufu yake???
NCHI NGUMU SANA HII, HATA AJE YESU AU MTUME MUHAMMAD kututawala hatoweza kamwe....

Wewe kilaza, Rwanda wanatangaza utalii katika majukwaa mbalimbali sio Royal Tour ya Greenberg tu. Mheshimu Kagame anatumia akili na ushauri wa wataalamu sio wapiga debe wa pongezi, pongezi, pongeeezi.
 
Hao ni wasomi wa kusomea ujinga.
 
Naona sasa kila mwananchi anataka kumwambia rais cha kufanya:

Kuna njia nyingi za kutangaza utalii na yeye amechagua hiyo pia. Au tuseme amevumbua hiyo! Hivi hii attitude ya kutokubali lolote kivyovyote limetokea wapi. ?
 
Wewe kilaza, Rwanda wanatangaza utalii katika majukwaa mbalimbali sio Royal Tour ya Greenberg tu. Mheshimu Kagame anatumia akili na ushauri wa wataalamu sio wapiga debe wa pongezi, pongezi, pongeeezi.
Wewe mwerevu, tuonyeshe basi njia nyingine za kutangaza utalii, mwisho wa siku TANZANIA ni yetu sote, usiwe tu kwenye kundi la moaners, groaners....jenga hoja acha matusi
 
Tanzania tunataka vivutio vyetu vitangazwe..hilo halina ubishi.
Tatizo vinatangazwaje na kwa ubunifu/ubora gani !?

Royal Tour iliyofanyika ni ya kawaida sana. Tusipende kusifu tuuu! Ifike mahali tuseme pia ukweli utakaomsaidia huyo raisi.
Unavyo zungumza kawaida sana ulitaka watembelee vichwa ndio iwe ya ajabu?
 
Royal Tour inapondwa na watu wa aina zote bila kujali ni wasomi au sio wasomi.

Mantiki ya "kutangaza" vivutio vya utalii kupitia royal tour haipo na nchi zinazovutia watalii wengi hazikuwapata kwa njia ya kujizungusha duniani kujitangaza.

Hiyo Rwanda uliyohitaja kama imejiboost kwenye utalii ni kwa sababu Kagame ametumia miongo takribani mitatu akiijenga nchi from within ili ipendeze kwanza.

Kadri siku zinavyoenda nazidi kukerwa na watu wanaoamini kwamba kinachomvuta mtalii atembelee nchi yenu ni kuangalia wanyama, milima na mabonde mliyonayo, na ni vile tu hamjayatangaza hayo mabonde yenu ndiyo maan
Lazima unanuka mdomo unaandika pumba tupu hujielewi
 
Nimeona comment za wadau maala kwenye kipande kile Rais anamkamata Peter mkono wakielekea sijui karibu na mlima kilimanjaro, wadau wanamuonya peter Sana kumpunguza mazoea na mama yao, nimecheka Sana na comment katika kipande kile aisee, mama katupiga na kitu kizito
Kuna tetesi kuwa Peter karudi jikoni kwenda kutia chumvi sehemu tulizozikosoa. Ngoja tusubiri kuona
 
Back
Top Bottom