Recent content by unknown value

  1. U

    Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

    Panga gali za mombasa shuka kituo kinaitwa relini
  2. U

    Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

    Safi sana mkuuu nidhamu ya mchezo
  3. U

    Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

    Jummanne yuko vizuli sana
  4. U

    Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

    Cjawai ona mtu anae ujua mchezo akimpiga mtu.maana huwa ni waoga.na maanisha wanaogopa kuingia matatizoni mfano kuuwa unajua ngumi ni mchezo hivyo basi kupigana kwa mpiganaji ni burudani but kwa anae pigwa ni maumivu.wakati ukipiga mapigo mpigaji huburudika na wakati mwingine ujihisi utumii...
  5. U

    Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

    Pia kuna mwalimu alikua maeneo ya moshi baa lelini alikuwa ni babu.alikua vizuri sana kwa kungfuu cjawai ona ila amefariki
  6. U

    Natafuta mwalimu mzuri wa ngumi

    Kama upo dar kuna mwalimu anaitwa jumanne yupo ilala boma anafundisha taichiii
  7. U

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Vp mkuu nataka jua bei ya Land Rover Defender 90 mpaka inanifikia
  8. U

    Tetesi: ACACIA yabwaga manyanga?

    Ktendo cha kusea Acha kuleta siasa katika vitu visivyo itaji siasa
  9. U

    Mchanganyiko wa vyakula vinavyoweza kutengeneza sumu

    Kuhusu asali na majani ni kweli kabisaaa
  10. U

    Mchanganyiko wa vyakula vinavyoweza kutengeneza sumu

    Kunawatu huwa wanabasha hats wasivyo vijua:
  11. U

    Kuhusu waliomshambulia Lissu

    Habari wakuu.naomba mchango wa mtazamo juu ya swala la lisu kushambuliwa kwa hi kuliangalia ili swala bila kuweka siasa au mapenzi binafsi.mimi binafsi kwa uwelewa wangu shambulio hli limefanywa na watu ambao wamekurupuka.hvyo basi hawajamaa awana uzoefu na walicho kusudia kukifanya.nipo tofauti...
  12. U

    Hivi Serikali ya Myanmar Waislamu wa Rohingya kosa lao hasa nini?

    Kiukweli waislamu wanakuzwa wakiaminishwa chuki zidi ya wakristo.amini ivyo na pia awa jamaa ni asilimia kubwa hawajitambui na ndo maana sehemu wanazo ishi awa jamaa kunakuwa na umasikini wa hali ya juu.
Back
Top Bottom