Recent content by unimaginable

  1. unimaginable

    Nauli za ndege kupanda baada ya Tanzania kuanzisha ada ya abiria ya dola 90 kwa wasafiri wa kimataifa

    Sisi tuliowekeza kwenye utalii ndo tutalia. Na hii maana yake tunawaambiwa international travelers msije TZ. Mpaka sasa Watalii wanatuambia Tanzania is the most expensive destination in Africa bado tunaongeza tozo🤔. Na huwa wanatuambia mnadhani Simba wa tanzania ni tofauti na Simba aliyepo...
  2. unimaginable

    Mikopo maalum kwa wafanyabiashara

    Mwogope dalali wa mikopo anayekupa interest rate Kwa mwezi, anachoficha hapo ni rate ya 42% Kwa mwaka. 42/12months= 3.5%. hivyo uhalisia mikopo yao ni 42% Kwa mwaka. Anakupa 3.5% Ili uone riba ni ndogo wakati sivyo ilivyo. Ukienda commercial banks riba sasa hivi zinachezea 18% - 24% Kwa mwaka...
  3. unimaginable

    Tunawezaje kuandamana kwaajili ya kuleta mabadiliko? Zipi mbinu bora kwenye kukamilisha hili?

    Mtazamo wangu ili maandamano yafanikiwe ni lazima washiriki wa hayo maandamano wawe wengi mnoo kiasi ambacho polisi wataogopa kuwafata, lkn maandamano ya kuwaachia chadema peke yao au watu 100 polisi watawamudu na kuwajeruhi. Maoni yangu; lianzishwe group specific kwa washiriki wa maandamano...
  4. unimaginable

    T-Shirts: Gwajimarize Tzii or Gwajimarize Tanganyika

    Kwann Gwajima? Ni wangapi wametoka wakazungumzia utekaji na haujafikiri kuwaweka kwenye tshirts? "No reform no election" ingekuwa na maana zaidi.
  5. unimaginable

    Serikali Yatenga Fedha kuanza ujenzi wa Reli Mpya ya SGR Kutoka Bandari ya Tanga Hadi Isaka. Itakuwa na Tawi la Arusha-Musoma

    Najaribu kuwaza hilo deni la taifa litakuwa limefika how much mpaka huo mwisho wa project🥱
  6. unimaginable

    Ole wako ukioa! Biblia Takatifu imesema yote

    Andiko linajibiwa kwa andiko. 1Timotheo 4:1 “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; 3 wakiwazuia watu wasioe, na...
  7. unimaginable

    Ole wako ukioa! Biblia Takatifu imesema yote

    1Timotheo 4:1 “Basi Roho anena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho wengine watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani; 2 kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe; 3 wakiwazuia watu wasioe, na kuwaamuru wajiepushe na...
  8. unimaginable

    FULL TIME || Simba SC 2 - 1 Mashujaa FC | NBC Premier league | KMC Complex | May 02, 2025

    LiveScore inaonyesha dakika za nyongeza hadi sasa ni 19
  9. unimaginable

    Siri Zilizofichwa Kuhusu Maisha ya Jiji la Mbinguni

    Umenibariki asubuhi ya leo mtumishi. Ngoja nifanye juhudi ktk kutenda mema ili namm niuone uzuri wa mji huo.
  10. unimaginable

    Tunatengeneza mizinga ya nyuki ya kisasa

    Asante sana kwa ushauri mzuri. Management itaufanyia kazi ushauri wako. Bei zetu kwa mzinga ni TZS 200,000
  11. unimaginable

    Tunatengeneza mizinga ya nyuki ya kisasa

    Kwa zao la Asali peke yake mzinga wetu unaweza kuvuna mara 3 hadi 4 ndani ya mwaka mmoja (1), na kutokana na fremu zilizopo kwenye mzinga wetu unaweza pata Lita 10 hadi 12 kwa kila mvuno. Ukilinganisha na thamani ya sasa ya asali ni wazi utapata sio chini ya 300k kwa mwaka hapo utakuwa ume...
Back
Top Bottom