Recent content by Unexpected Mind

  1. U

    JamiiForums Tanzania Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

    Nahisi sio kila kitu unajua kwa sababu hakuna binadamu anayejua kila kitu, kuthibitisha hili ni apo ulipotuuliza hili swali ili tukupe mawazo yetu. Anza kwanza kurekebisha apo kwenye ujuaji wa KILA KITU alafu mengine yatafuata
  2. U

    JamiiForums Tanzania Yupi wa kuoa kati ya hawa wanawake?

    Second selection inakuja pale tu first selection isipokuridhisha...... Akili ya kuambiwa changanya na yako.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nimetumbukia kwenye majaribu mazito na mke wa rafiki yangu

    Naona elimu yako haijakukomboa bado, hv ulivyoandika hukusoma mara mbilimbili kabla ya kupost? km ulifanya hivyo hukugundua km unakaribia kusaini matunzo ya familia nyngn??????? B Care
  4. U

    JamiiForums Tanzania I have a baby girl

    Congrt
  5. U

    JamiiForums Tanzania Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    jibu linaweza kuwa ndio au hapana.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ushirikiano ni jambo muhmu sana kwenye maisha ya sasa
Back
Top Bottom