Recent content by Underwood

  1. Underwood

    JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Pumzi
  2. Underwood

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

    Hapa naunga mkono 100%. Unafiki ulioje kusema katiba yetu inalinda dikteta lakini huchukuo nafasi yoyote kuzuia hilo, singlehandedly alikuwa na uwezo wa kutupa katiba bora ya muda wote.
  3. Underwood

    JamiiForums Tanzania Pope Francisco aomba kujiunga na BRICS + kama observer

    Xi hawezi kubali
  4. Underwood

    JamiiForums Tanzania Askofu Munga: Moyo wangu umeugua kwa dhuluma KKKT waliyomfanyia Askofu Bagonza

    Hii kazi wange outsource Vatican
  5. Underwood

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wa Tanzania ni Waislamu na Wakatoliki tu?

    Just a pure coincidence
  6. Underwood

    JamiiForums Tanzania TUNAHITAJI parliamentary democracy (system ) sio kuendelea chini ya Presidential democracy (system )

    Kuna mwamba alitoka bungeni akisema anaenda kuimarisha chama ambcho kilikuwa na zaidi ya 95% ya wabunge
  7. Underwood

    JamiiForums Tanzania Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Utafikiri mkataba uliundwa na bunge lenyewe, anyway katiba mpya ituondolee Rais kuwa sehemu ya bunge.
  8. Underwood

    JamiiForums Tanzania Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Umeenda kanisani leo? [emoji16][emoji16][emoji23] Ulichosikia ndio cha msingi, hizi nyingine ni porojo.
  9. Underwood

    JamiiForums Tanzania Mradi wa kiuchumi mnaufanya mjadala wa kidini. Hamna maana kabisa

    Wamesoma waraka hadi misa za Watoto [emoji16][emoji23][emoji1787]
  10. Underwood

    JamiiForums Tanzania Tupiganie Katiba Mpya ili kuondoa haya mauza uza ya TEC

    [emoji1787][emoji23][emoji23] Kwamba katiba iseme ni marufuku makanisa kuongoza nchi?
  11. Underwood

    JamiiForums Tanzania Serikali isimamie Tamko la Maaskofu lisisomwe Kanisani

    Waraka umesomwa hadi misa za watoto.
Back
Top Bottom