She is Mama from Zanzibar, 90% ya akina mama wa kizanzibar hata wakisoma huwa wanajitambua na kujua hata position yao kama mama hasa ngazi ya familia..
Huku bara tunashida na hawa mama zetu hasa wakisoma kidogo na kuwa na vijihela basi utaona full sinema, ujeuri, dharau, kujikweza na mwisho wa...
Chadema msipokuwa na plan B msitegemee kuchukua nchi kirahisi, wenzenu hawahitaji hoja tena ila ni mwendo wa utemi tu... Kubweka hakuwezi kuwasaidia tena Chadema maana CCM wenye dola wameamua kutumia mbinu ya ubabe maana wanajua watanzania ni waoga..
Ni vizuri tukaamua tu kuachana na siasa na...
Sasa mkuu hivi kulikuwa na haja gani ya yeye kuwepo pale?? Kama umejenga taasisi imara unaweza kufanya kazi vile??
2015 ameingia madarakani na amedhuru bandari mara nyingi sana yeye na waziri mkuu lakini bado vitu kama vile vinatokea unafikiri nani wakulaumiwa kama sio yeye kushindwa...
"Nanyi mjue shida ya kuwa Raisi katika nchi hii"
Mkuu Magu mtaendelea sana kuumiza vichwa lakini tatizo ni CCM yenu, mfumo wa elimu mbovu, mfumo wa ajira mbovu, mfumo usalama mbovu nk, nk matatizo ni Mengi sana.. Eti Mawaziri hawacommunicate, hilo mbona ni tatizo la miaka yooote ambayo CCM ipo...
Hii nchi ina bahati sana, yaani kila siku inapata neema ya kudondokewa na vitu vya thamani kutoka ughaibuni, mara vichwa vya train hivyo.. Kuna siku itatua ndege pale airport tutaambiwa haina mwenyewe na imekuja na ghost pilots..
Rais anakwenda bandarini kukamata mwenyewe, akiwa hayupo huko...
Wafanyakazi hewa wamedhibitiwa..
Feki na hewa zote zimetolewa..
Wapiga dili wamedhibitiwa..
Kifupi serikali hii imedhibiti ufisadi..
Mishahara unashindwa kuongeza..
Kutwa kigulu na njia kukopa..
Wanaofunga maduka nao wapiga dili..
Construction industry imepwaya, nao dili..
Mabenki hayatoi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.