Hivi vigogo wa JF Siasa wao hawahami vyama?

Hivi vigogo wa JF Siasa wao hawahami vyama?


Mimi Kishimbe wa Kishimbe nitatangaza kuhama chama changu cha sasa mara kitakapoundwa 'National Socialist (NAZI) Party of Tanzania', vinginevyo sioni sababu ya kupoteza muda wangu!
images
images


Kishimbe wa Kishimbe !
 
Najiuliza hata ID fake, utambulisho wenye ujasiri kabisa kwa sababu hakuna anaemfahamu isipokuwa sura za maandishi yao.

Huku ni kugumu au, wafuasi wanamisimamo kuliko viongozi wao?
Au kuhama kwa huku ni kubadili ID, kuogopa kuvunja heshima iliyojengeke?


Hapa namaanisha ID Fake zote Active CCM, na ACTIVE Upinzani tangu matokeo ya 2015, maana hapo tulishuhudia hamahama za Ufuasi hadi huku kwenye maID Fake.


Note: Binafsi Sina chama, ila niko Upande wa Serikali ya sasa na Natamani wanasiasa wahame kwa kadili wanavyotaka ila WANANCHI TUPATE MADHARA CHANYA YA HAMAHAMA ZAO.

....
Madhara chanya ndio kitugani
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom