Recent content by Under30

  1. U

    JamiiForums Tanzania Tiket ya ndege air tanzania

    Jaman nataka kukata tiket ya ndege nimesikia kuna promotion kutoka aarusha kuja dar Sasa nimetafuta website yao sipati Msaada tafadhal
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya damu ya hedhi na mboga/majani kukauka?

    Jamani mimi nilivyojifungua mama aliniambia siku ya bleed ya kwanza(baada ya kujifungua unakaa miez kadhaa inategemea mtu na mtu) alisema mpake mwanao vitone kwenye viungo vyake yaani kama ishara sio.mpaka damu ionekane.ki ukweli nilikataa kwa kuwa mimi ni mkiristo na huwa si pendi mambo ya...
  3. U

    JamiiForums Tanzania nauza mashine hii fasta

    Ukisema uifanyie biashara,ni biashara gani
  4. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Kwa mtaji huo, usisafiri. Fata mzigo Kariakoo mtaa wa sikukuuu kuna maduka ya wahindi ya jumla, ila sijawah fanya hii biznesss.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi na Mchanganuo Kuhusu Biashara ya Vipodozi na Urembo

    Namba yako ya wasap nione sample.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Nishakutana mwenye degree anataka ulaini mazingira ya kazi kuelezea akaona ugumu,hii kazi ni skills tu na kuwajali wateja na kutia juhudi haiihitaji gpa
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Sanaaaa,yaaan mkuu nashindwa kuandika hapa kwa maelezo ila pamoja na changamoto za biashara sijapata mtu muaminifu na mchapa kazi
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Yaaaan upo sahihi jamani yaaan sijui nikwambieje,vijana wa kitanzania sisi UAMINIFU 0.90
  9. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Mkuu hamna watu wanasumbua kama ndugu kwenyw kufanya kazi
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Ipo temeke,chang'ombe karibia na ttc club Kuna njia ya kulipana Ukiosha gari unapata chako hapo hapo.kama gari elf 7 unachukua elf mvili,kama elfu kumi unachukua elf 3 kama 20 unachukua elf 5,kuna pikipiki,bajaj na mazulia bei inategemeana, Ana elimu gani?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Niliwachukua wanyumbani na kuishi nao na ugali na wapa na nawalipa lakini mkuu kijiwe changu mimi kipo karibu na taifa ni pale ttc club lakini mpaka navyoandika hapa WAMELALA wako wawili alafu leo mechi ya simba kwa hiyo magari yanakuja mengi swala la kuwahi tushaalizungumza mpaka nimefikia...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Anafaa ila awe anajituma sana
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Na waje kwa kweli
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kazi ya kuosha magari

    Habari wakuu natafuta kijana anayejituma mdogo kwa ajili ya biashara ya kuosha magari Awe anaishi Dar Anajituma na muaminifu sana Kazi nitamfundisha
  15. U

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Bilionea Msuya: Mshtakiwa adai siku ya mauaji alikuwa fungate

    Nninataman ku undo hayo maelezo kwa nini nilisoma hiyo part inasisimua
Back
Top Bottom