Recent content by Uncle K

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro itazidi kutoa watu wengi maofisini, walimu, na serikalini

    Tabora Girls kuna I- 3 PCB phy A, Chem A na Bio A
  2. U

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona ndiye mbabe wa muda wote Spain

    Si mbabe kwa Barcelona
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane kimsingi ulaya Mpira upo BundesLiga na Serie A

    Mpira upo serie a Timu za England na spain mbona zilipokea kichapo kizuri toka kwa timu za serie a kwa nn useme hakuna mpira
  4. U

    JamiiForums Tanzania Man Utd ndio club tajiri kabisa ya mpira wa miguu

    Na utajiri wake mafanikio ya hivi karibuni F
  5. U

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Bayern Munichen mabingwa wa Uefa 2017/18

    Real Madrid hiyo hatua anayokwenda ndiyo ngumu zaidi kama amefuzu kwa mbinde dhidiJuve hiyo hatua ndiyo itakuwa safari yake ya mwisho
  6. U

    JamiiForums Tanzania Liverpooooool!!!!!Naota ama ni kweliiii?

    Liverpool 3 man city 0
  7. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi Elimu ya SUA ilivypoteza dira kwenye labour market, TCU imulikeni kwa macho mawili

    Si siri anachuki binafsi na wahitimu wa SUA.Elimu ya SUA si yakubahatisha ukitoka pale unakuwa vizuri sana na uwezo mkubwa wa kufikiri ndiyo maana interview nyingi vijana wa SUA wanafaulu zaidi kuliko vyuo vingine
  8. U

    JamiiForums Tanzania Droo ya UEFA Champions Ligi; R.Madrid Vs Juventus, Liverpool apewa Man. City! UEFA Europa Ligi; Arsenal Vs CSKA Moskva..

    Real Madrid safari yenu imeishia kwa Juventus kwenye hatua hii ya mtoano kihistoria Madrid kaondolewa Mara kibao Mara ya mwisho Madrid aliondolewa nusu fainali na Juve ikiwa na wakina Morata,Pogba,Tevez n.k na fainali juve akacheza na Barcelona
  9. U

    JamiiForums Tanzania E.P.L inazidi kuabika

    Kwa hatua inayofuata Barcelona na Real Madrid wanaweza kuondolewa kwenye mashindano Aidha Bayern au Juventus kwa kipindi cha takribani misimu miwili waliondoshwa na hizo timu kama Juventus ilishawaondoa wote hao wawili Real Madrid msimu wa 2015/16 na Barcelona 2016/17
  10. U

    JamiiForums Tanzania Dyabala na Neimar nani mkali?

    Dyabala anajielewa huyo mwingine ni media tu zinambeba hakuna mpira pale
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mkude ndiye kiungo bora wa chini kuwahi kutokea nchini?

    Mkude bado uwezo wa soka mdogo sana kwa magwiji waliomtangulia kwenye soka
  12. U

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    Pumzika kwa amani mzee wetu mwanasiasa mkongwe
Back
Top Bottom