Pole sana Shibuda kwani umegusa maslahi ya wenzio bila ya kufahamu ama umefanya maksudi!! CDM wana uhakika sana na 2015, lakini msuguano wa Mbowe, Slaa na Kabwe katika kuwania Urais kupitia Chama hicho unaweza ukaleta balaa na umaarufu wote ukaisha, hakuna aliyekamilika tukifikia kwenye suala la...