Recent content by unacheka unamana gani

  1. U

    JamiiForums Tanzania I declare Pascal Mayalla ni mfano wa kuigwa!

    Sawa ndugu! Nashukuru!
  2. U

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo wakati wa majibu uliyokuwa unajiuliza ukiwa mtoto

    Alikuwa na maana gani huyo jamaa?
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike amenitusi muda huu, ninatetemeka kwa hasira

    Nimeandika bonge la tusi nimefuta.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    Kabisa!! Matajiri wenzako wanakutenga
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  6. U

    JamiiForums Tanzania Ni Mara ya 3 Sasa Mwanamke anasusia hela ya kula

    Sasa 15k we' unaona ndogo? Watu wanaachiwa 3000, 5000 tena mke akiwa na familia. Acha tambo za ajabu ajabu, bado 15k ni nyingi SANA kwa ajili ya kula per day.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    Bonge la point! Huyu jamaa ni bonge la risecha aisee, sijui kama analala(ga) huyu.!
  8. U

    JamiiForums Tanzania Tanzania ukitaka kutajirika wekeza kwa wajinga na masikini

    Taikoni vs Walala hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu jamaa anawachukia masikini sana[emoji23][emoji23][emoji23]. Utawatisha, hawatoingia[emoji23][emoji23][emoji23]
  9. U

    JamiiForums Tanzania Acheni kujifariji, Yesu hakuwa masikini/kapuku

    Kabisa, fundi seremala alikuwa na hadhi. Kusafiri siyo mchezo, na more enough alishapanga Yesu azaliwe hotelini ila ilikuwa booked tayari.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Acheni kujifariji, Yesu hakuwa masikini/kapuku

    Hata hivyo hakuwa kapuku, japo hakuwa na utajiri wa kutisha wa material things
  11. U

    JamiiForums Tanzania Acheni kujifariji, Yesu hakuwa masikini/kapuku

    Ukisoma Mathayo utagundua Yesu alikuwa na mahali pa kuishi/nyumba. Usisome kitabi kimoja tu, soma vyote. Nafikiri umeelewa.
Back
Top Bottom