Recent content by Umwano

  1. U

    Mkutano wa kampeni CCM Sengerema, Magufuli agoma kumnadi William Ngeleja

    Sasa wewe unashangaa nini kama mtu alishawahi kusema Saddam Hussein alikuwa Rais wa Kuwait, kwamba atafufu kiwanda cha ngozi cha TANALEC cha Arusha wakatimkiwanda hicho ni cha majikomya umeme na Transforma za umeme
  2. U

    Jiji la Dar es Salaam lasimama, foleni kila sehemu!

    Wewe ndio kilaza watu wanakwambia barabara ina foleni kuanzia chalinze kwa sababu ya ubovu wa barabara wewe unakurupuka unawaambia watumie daladala, kwanza sijui nani amekwambia wote wanaolalamika wanatumia private transport, afu nani kakwambia wakitumia daladala hiyo barabara ndo itakuwa...
  3. U

    Jiji la Dar es Salaam lasimama, foleni kila sehemu!

    Kwa hiyo daladala zinapaa au?
  4. U

    Je, ni kwanini ving'amuzi havina 'Service charge' mwisho wa mwezi kama TANESCO?

    Hawa Tanesco na Mamlakamza Maji mijini ni majambazi hebu angalia unanuna umeme na mita yako ni ya LUKU unakatwa serce charge ambayo wakati mwingine ni kubwa kuliko hata umeme unaotumia, sasa kwa mita ya LUKU service charge za nini wakati hakuna mtu anayekuja kusoma mita wala hakuna ghalama za...
  5. U

    Watumishi wa Halmashauri ya jiji la Dar Es Salaam, mshahara haujatoka!

    Kaka vipi mbona una hasira sana au wewe ndo mwenye tenda hapo Ubungo Terminal?, maana jina lako linafanana sana na la mtoto wa kigogo ambaye anasemwa sana kuwa ndiye mwenye hiyo tenda pamoja ile ya parking, kama ni wewe nakushauri lipa fedha watu wapate mishahara acha hizo figisufigusu
  6. U

    Emmanuel Mbasha, ni nani alikuroga?

    Flora ni mjukuu wa marehemu Askofu Mkuu Moses Kulola aliyekuwa muhubiri maarufu wa kimataifa, nafikiri ni Msukuma
  7. U

    Emmanuel Mbasha, ni nani alikuroga?

    Mkuu mbona umeandika kwa uchungu sana?, wewe ulitaka amuache mkewe?, unasema kwamba Flora alitaka aozee jela wewe ulitaka Fora afanye nini wakati aliyedaiwa kubakwa ni mdogo wake?, ungekuwa wewe ungefanya nini?. Flora alitimiza matakwa ya kisheria na ndo maana baada ya Mahakama kuona hana hatia...
  8. U

    Big Salute kwa Nabii TB Joshua Na nabii Josepht Mwingira, Kwa Kumchonga vema Magufuli

    Afu ukiwa muongo uwe makini sana, hebu nitajie tarehe ambayo Magufuli alifanya mkutano Gairo, Magufuli hajafanya mkutano Gairo kama unabisha lete ushahidi hapa
  9. U

    Treni ya umeme ya Ethiopia, kuanza kujengwa Kenya na Tanzania ?

    Wewe ndugu inaelekea unampenda sana Mbowe lakini nina mashaka kama anaweza kukusaidia labda kama ungekuwa wa kike lakini michezo yenu ya watoto wa kiume kujibadilisha kuwa wa kike Mbowe hawezi kukusaidia kwa kuwa sio tamaduni ya Wachagga, hebu zungukia maeneo ya Bagamoyo na Tanga naamini utapata...
  10. U

    Kwanini tuaminishwe kuwa Mhe Lowassa anaumwa ilihali anapiga kampeni ya kufa mtu?

    Naona umeamua ku google kabisa, ukiambiwa utafsiri hapo ni majanga matupu!, hebu tuachane na hiyo copying yako tuingie kwenye mambo ya msingi hebu tujibu maswali yafuatayo: 1. Nani amekwambia Lowassa anaumwa huo ugonjwa?, hapa tutashukuru kama utatuambia kama wewe ndio daktari wake na kama wewe...
  11. U

    Kwanini tuaminishwe kuwa Mhe Lowassa anaumwa ilihali anapiga kampeni ya kufa mtu?

    Afu bro nilisahau kukuuliza, naona mnashangaa Lowassa kwenda msalani mara tatu hivi Magufuli yeye anakunya mara ngapi kwa siku?, samahani ni swali tu, naomba kujua pia huwa ananyea wapi maana muda mwingi anatumia barabara na anakuwa porini au lile basi linalobeba wasanii lina choo ndani?, asante...
  12. U

    Kwanini tuaminishwe kuwa Mhe Lowassa anaumwa ilihali anapiga kampeni ya kufa mtu?

    Hiyo ni dalili ya kuishiwa hoja, suala la kwenda msalani hata lingekuwa mara kumi si kigezo cha mtu mwenye akili timamu kupanda jukwaani kulizungumzia vinginevo tutaamini upeo wenu wa kufikiri na kuchanganua mambo ni mdogo sana, mtu anafanya kazi usiku na mchana bila kupumzika kuna ubaya gani...
  13. U

    Kwanini tuaminishwe kuwa Mhe Lowassa anaumwa ilihali anapiga kampeni ya kufa mtu?

    Mambo yaliyofichwa ni pamoja na Magufuli kuhonga nyumba ya serikali kwa hawara yake anayeitwa Kabula, wizi wa shilingi bilioni 264 Wizara ya Ujenzi ambapo Magufuli ndio Waziri, ununuzi wa kivuko chakavu cha Bagamoyo ambacho Magufuli alisimamia ununuzi wake, hasara Taifa tuliyopata ya 2.8B kwa...
  14. U

    Marufuku ya Jeshi La Polisi Kuhusu Maahandamano Ni Kwa Vyama Vya Upinzani Tu

    Sorry mkuu nimeku quote kimakosa nilimkusudia huyo ---- mwenye jina kama dawa za kienyeji
Back
Top Bottom