Umati wote huu ukaifuata CHEDEMA, kwani CCM hawakuwa na mkutano kuadhimisha miaka 37 ngazi ya mkoa hko Mwanza? au walipisha kwanza makamanda wa jiji wafanye vitu vyao kwanza.
Mtwara lini? maana kata ya Mkuti hapa Tandahimba imeanza kuangukia kwa Makamanda, wanachohitaji ni kuungwa mkono tu ili ichukuliwe baada ya CUF kufulia Tandahimba kiasi cha kumwekea pingamizi mgombea wa CDM eti kuwa si raia. hata hivyo msimamizi alilitupulia mbali pingamizi hilo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.