Kisa kama hiki na vingine vingi sana kama hivi ndivyo vilipelekea kuibuka kwa M23, Hao watoto wanao fanyiwa unyama huo na Raia wenzao huku Serikali ikiangalia kosa lao ni kuwa walizaliwa wakiwa Watusi ndani ya DRC.
Acha ushabiki, Jeshi la SADC lilikuwa na full mandate ya kupigana bega kwa bega na Jeshi la Congo ndio maana liliingia badala ya jeshi la EAC ambalo Tshisekedi alilifukuza kwa kuwa lilikuwa ni la kulinda amani ndio akakubaliana na SADC waje kumsaidia kupiga kungulu kama walivyofanya 2012/13. kwa...
Hebu umwereze maana anajitoa ufahamu eti ni peace keepers, wapi kabisa SADC iliingia Congo kama FIB na lengo likiwa kushirikiana na Jeshi la Congo kumpiga M23, wakijua kuwa M23 ni ile ya 2012/13, hawakujua kama Gen Makenga amejiandaa kwa 10yrs na yuko tayari kabisa. kwa ufupi SADC wamesalim amri...
Ngoja na mimi nichangie kidogo "Betason" , Tanzania mara ya mwisho imepigana vita 1978, Hii ni zaidi ya miaka 40 iliyopita. Askari aliekuwa na miaka 20-30 ameshastaafu. Kwa ufupi ni kwamba askari wote wa sasa wa jwtz hawajapigana vita yoyote. Jeshi la Rwanda halijawahi kutulia liko vitani tangia...
Mwanzishaji wa hii Mada kwanini asiwe professional ajye atueleze kulikoni? Kwa Kichwa cha habari na jinsi alivyo anza angepaswa sasa hivi awe amekuja ku change tamko lake. Nauliza Ndugu @ Mobby_255
Earthmover naye aliingia kwa fujoo lakini sijui kapotelea wapi.
Amka usingizini wewe, kumekucha, hizo ni za alinacha. BU, SA, TZ, ML wote wako wanafanya mazungumzo wapewe askari wao ambao wako under M23, kwa taarifa yako baadhi ya hao askari wako kwenye masanduku. Wazung wameshafanya negotiation cap chap wakapewa mamluki wao, Viongozi wa Afrika wanasua sua...
Aisee naona kipigo kingine pale Kilimanyoka, hawa Namba M hawana mchezo kabisa, lakini ni haki yao ngoja watoe fundisho kwa wote wanaotaka kuwatoa kwenye ardhi ya babu zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.