Recent content by Umma

  1. U

    Pongezi kwa Waarabu/ Wahindi waislamu wanaoishi hapa Tanzania. Mnyonge mnyongeni, haki yake.....!

    Bila shaka yapo mabaya na mazuri ya wahindi waislamu na waarabu waislamu, lakini hakika hakuna mabaya ya uislamu bali mazuri tupu.
  2. U

    TBS mnaandaa mazingira ya rushwa ukaguzi wa magari?

    Bado sioni kama maslahi ya wananchi yamezingatiwa kwa kufanya ukaguzi wa magari baada ya kuwa yameingia nchini, bali kinachoonekana ni kuzidi kuweka ugumu wa maisha kwa wananchi hasa wanyonge. Namsihi Rais JPM aingilie kati jambo hili hata kabla halijaanza kutekelezwa.
  3. U

    Vyuo Vikuu anzisheni Benki yenu

    Wanachojua wahadhiri ni kudhalilisha watoto wa kike kwa kuwashawishi wawape rushwa ya ngono basi, hayo mengine hayawahusu.
  4. U

    Kwanini Polisi walishindwa kuifichia aibu familia ya Mzee David Makerege? Yesu aliwaambia "asiye na dhambi miongoni mwenu awe wa kwanza kumtupia jiwe"

    Polisi wasingetangaza, ndg wa marehemu wangejuaje kama ndg yao amefariki dunia? Polisi wasingekuwa wawazi katika mkasa huu, huoni kama wangekuja kugeuziwa 'kibao' kwamba wanahusika kwenye kifo hicho, ama wanamlinda muuaji? Hiyo pesa tu tsh 37,000/= aliyokutwa nayo marehemu, tayari baadhi ya watu...
  5. U

    Aibu ya pombe

    Pombe mama wa maasi, iepuke tafadhali.
  6. U

    Aibu ya pombe

    Pombe mama wa maasi, iepuke tafadhali.
  7. U

    Hivi nchi hii ni Plastiki pekee ndo zinaharibu Mazingira?

    Kwenye plastic huenda ndo kuna rushwa ya chapchap. Halafu ukigusa makundi ya mifugo yanayo hamahama, inaweza kukupotezea kazi haraka sana. NEMC wako makini sana, wanajua wanachofanya.
  8. U

    Jamaa kakopa sumu kaenda kujiua, nikawadai ndugu zake?

    Kwanza huyu jamaa ni wa kukamatwa kwa kosa la kuuza sumu bila kibali na kusababisha maafa, polisi tekeleza wajibu wako.
Back
Top Bottom