Recent content by umma tanzania

  1. U

    JamiiForums Tanzania Saini zakusanywa kumng’oa Makinda

    Kigwangala leo ndo anajua haya mamtu hayana huruma na wtz(yalikaa kupanga kodi ya lain za cm yakalipana 430,000)
  2. U

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tumegundua njama za kuivuruga CHADEMA

    Tumekupata kamanda, hakuna kuwalegezea wasaliti wakanyagwe 2.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya CCM na CHADEMA ni mavazi tu

    Isingekuwepo CDM leo hii watanzania tungekuwa vipi? ukipata jibu ndo tofauti ya chadema na ccm.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Dkt Nchimbi wapigwa mawe Songea

    Amefanya nini zuri jimboni kwake ili wamshangilie (apigwe tu amewachosha)chimbi 2015 byebye kama masha 2010.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa umma - matokeo makubwa sasa (brn) kwenye sekta ya misitu

    TAARIFA KWA UMMA MATOKEO MAKUBWA SASA (BRN) KWENYE SEKTA YA MISITU KWA KUVUNA MITI ILIYOPO BILA KUWEKEZA KWA KUPANUA WIGO WA MASHAMBA INAWEZEKANA? Katika Mkutano wa Wadau wa Mazao ya Misitu Kanda ya Kaskazini (NOFIA) uliofanyika mjini Moshi Tarehe 08/10/2013 ulijadhili azma ya Serikali...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Serikali yasaini mikataba mingine saba CHINA yenye thamani ya dola za kimarekani bilioni 1.7

    Haya majitu hayawezi kuweka wazi mikataba yanajiita makoloni meusi(hata hivyo mungu ameshayaona 2015 yanasulubiwa)
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mch.Msigwa na Rais Kikwete mnalijua hili katika idara ya misitu.

    Ametajwa msigwa akawaeleze bungeni,nimeulizia maana ya LMDA kwa wadau wa misitu wanasema ni pesa wanayoichanga hao wavunaji kwa ajili ya kuitunza misitu yetu kumbe pesa ya kutunza misitu haitoki serikalini ni wavunaji wenyewe kwa mwaka wanachanga zaidi ya bilion 10 hiyo pesa huwa haikaguliwi na...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mch.Msigwa na Rais Kikwete mnalijua hili katika idara ya misitu.

    Mkuu umeeleza vizuri hili suala la kupanda kwa bei ya miti, sijajua ni kwa nini umemtaja Mhe. Msigwa badala ya kumtaja Waziri wa Maliasili Balozi Kagasheki ambaye nadhani ndo yupo responsible na kupandishwa bei kiholela KAGHASHEKI NI MMOJA WA WANAOTAKA KUMUHUJUMU KIKWETE KWA KUMDAN'GANYA...
Back
Top Bottom