Recent content by Umkontho

  1. U

    Pwani: Wawili wahofiwa kuuawa kwa risasi Kibiti, idadi ya Waliokufa inasikitisha, sasa yatosha

    Kupimana kwa ajili ya nini? Hivi kuna mtu anaweza kufanya ujambazi tu just for the sake of kujaribu serikali? Hapana, nasema BIG NO. Bado natafakari kwa nini watu wengi wauawe kiasi hiki. Alafu inaonekana wengi wanaouawa ni viongozi wa vijiji, vitongoji, viongozi wa CCM, na polisi. Hapa kuna...
  2. U

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Dodoma sehemu gani mkuu? Ungetaja na jina la hiyo taasisi. Hapa JF ni mahali pa uwazi na ukweli mambo ya kuficha ficha majina haisaidii
  3. U

    Msaada kuwezesha kilimo changu

    Nawaza tuu hii post ya jana mpaka leo hakuna anayejibu...... Kwa mtazamo wangu nawaza mengi hapa, assume mtu yuko Ruvuma, mwingine yuko Kagera. Alafu hapa tuko kwa ID feki maana members wengi humu zaidi ya 98% hawatumii majina yao halali..... Sababu ni nyingi. Tafuta hata saccos au watu wa...
  4. U

    Wapi napata huduma ya massage Dar es Salaam?

    Nitarudi baadaye, ngoja nimalize ya kaisari
Back
Top Bottom