Hiyo siyo picha ya rais au kiongozi wa wananchi. Hiyo ni picha ya mfalme au dikiteta fulani ambaye yuko out of touch na wananchi anaowaongoza.
Btw, hivi kichaa naye anaweza kuwa kiongozi wa nchi?
Mwenyekiti wa chama ni Lisu, hivi unategemea kweli hicho chama kina uwezo wa kujirekebisha? Huo uwezo utayoka wapi? Taasisi yoyote inayoongozwa na watu wenye hulka ya kujifanya wanajua kila kitu, na ni wao tu ndio wanaojua (wajuaji), haiwezi kupata uwezo wa kujirekebisha.
Na mimi mbona ni mkristo mzuri tu kwa Imani na Matendo lakini nina majina ya asili; Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde ?
Btw, ungeanza kwa kubadilisha hiyo "Allen" kwanza ingeleta maana zaidi!
Kamanda acha basi kututoa kwenye reli. Tunajadili pesa ya mwenyekiti wetu kutafunwa na wajanja wewe unaweka porojo nyingine ili kuharibu mjadala? Hujui kuwa unaihujumu chadema kiujanja? Au na wewe umepata gawio la huo upigaji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.