Recent content by Umani Wolbachia

  1. U

    Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

    Kumbe ni wahaya wote wana hizo mambo MI nilijua ni wanyambo tuu wenye hizo mambo
  2. U

    Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

    Sio sawa kabisa mana wanadaigi mpunga mrefu sana Sasa kwa Vijana na maisha ya Leo yalivyo tight Vijana wanaweza gaili kuoa kisa mahali.
  3. U

    Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

    Kawaida sana hii huko Ukweni kwangu karagwe...
  4. U

    Kero: Mahari sasa yageuzwa chanzo cha kipato

    Jamaa nae ni boya tuu.... Kijana mdogo unaenda kuoa mwanamke aliyeskwisha zaa.... Ni uzwazwa huo... Angewaachia tuu akatafute binti Mbona wako wengi tuu
  5. U

    Bukoba: Wanawake walaumiwa kuwaoa vijana wa shule za sekondari

    Sina Hakika sana na takwimu zilivyo kwa Sasa... Ila maambukizi yameshuka sana kwa Kagera....
  6. U

    Bukoba: Wanawake walaumiwa kuwaoa vijana wa shule za sekondari

    Aisee nenda kajaribu uje ulete mrejesho... Hivi inakuwaje yani nimejiolea mtoto WA kinyambo aisee acha
  7. U

    GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Nashukuru kwa masahihisho....ila kuhusu kushinda CDM wamtafutie kazi nyingine yule madam mana anapigwa mapema tuuu..Hatutaki uchaguzi wa fujo
  8. U

    GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Hakuna cha kushtuka wala nn wajumbe walimkubali dogo ila sasa ngazi ya mwisho ya maamuzi imeona Gwajima ndo anafaa kupambana na CDM....hatutaki kutumia nguvu safari hiii majibu mtayaona wenyewe kampeni zikianza....ushindi mapemaaaaa
  9. U

    GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    Askofu Gwajima ndo TIBA SAHIHI ya Halima Mdee....Na hawamu hii msimamizi wa uchaguzi wala hata pata tabu kumtanganza mshindi maana CDM watapigwa mapema sana
  10. U

    GE2020 Yaliyojiri Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM: Majina ya walioteuliwa kuwania nafasi za Ubunge kwenye Majimbo mbalimbali nchini

    HONGERA sana MHE.RAIS JPM kwa kuiongoza vyema kamati yako na kutuletea watu sahihi...Sasa Kawe na Arusha zinarudi nyumbani baada ya kuwa mikononi mwa upinzani. CCM HOYEEEE YANI RAHA MPAKA BASI
  11. U

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Pole sana wakili msomi TL..Mungu akutangulie uweze pona haraka urudi kutupigania wana singida ....... Aisee hapo hospital usalama wake uko vp....aisije akaingia baazazi akammalizia...viongozi wa upinzani mjitahidi kuwa makini mana hali sio muzuri kipindi hiki wekeni hata walinzi ,cctv camera...
  12. U

    Waziri wa TAMISEMI, George Simbachawene na Naibu Waziri wa Ujenzi, Edwin Ngonyani wajiuzulu

    Unasema???...kwani ya makinikia imefikia wapi?mbona tunaanza episode mpya kabla Ile haijaisha...nimeshafanya quotation ya Noah yangu na invoice ishakuja nimepewa siku8 niwe nimedeposit pesa sasa haya masinema mengine ya nn badala yakumaliza Ile ya kwanza bwana watu tukapewa mgao wa Noah zetu...
  13. U

    Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

    Hata na mm nimekiisi hichi kitu..
Back
Top Bottom