Recent content by Ulysses2784

  1. Ulysses2784

    Katibu Mkuu Wizara ya Maji na Umwagiliaji tupia macho unyanyasaji Idara ya maji vijijini kitengo cha takwimu

    Kuna thread imeandikwa kumuomba waziri wa maji na umwagiliaji atupie macho mtaalamu mshauri aliyewekwa kusimamia utekelezaji wa mradi wa malipo kabla ya matokeo unaofadhiliwa na shirika la misaada ya kimataifa la Uingereza (DFID). Mradi unaitwa Payment by Result (PBR). Lakini mimi naomba katibu...
  2. Ulysses2784

    Katibu Mkuu Wizara ya maji na umwagiliaji tupia macho Idara ya maji vijijini kitengo cha takwimu

    Kuna thread imeandikwa kumuomba waziri wa maji na umwagiliaji atupie macho mtaalamu mshauri aliyewekwa kusimamia utekelezaji wa mradi wa malipo kabla ya matokeo unaofadhiliwa na shirika la misaada ya kimataifa la Uingereza (DFID). Mradi unaitwa Payment by Result (PBR). Lakini mimi naomba katibu...
  3. Ulysses2784

    Serikali yaiagiza Hospitali ya Taifa kutotoa vibali vya matibabu nje ya nchi kama uwezo wa kutibiwa nchini upo

    open season on killing innocent Tanzanians.....everyone knows that government run hospitals are death factories!!! Why not let us choose where we want to go get apropriate medical treatment.....Hizi demokrasia za kijuha miyeyusho sana
  4. Ulysses2784

    Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

    Mbona kama tayari ashakula mdude??
  5. Ulysses2784

    Kitabu hiki kimeeleza vizuri kuhusu siasa za zanzibar kitafute

    Nashauri tafuta kitabu kinaitwa kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru. Kinaelezea mapinduzi kwa kina na chimbuko ya hali ilivyo sasa Zanzibar. Pia unaweza elewa kwa mini CCM haitoachia Zanzibar kirahisi maana waliichukua kwa gharama kubwa sana.
  6. Ulysses2784

    Joseph Mbilinyi (Sugu) amtaka Rais Magufuli asafiri Nje ya Nchi ajifunze kwa wenzake

    Sugu Hana hela ya kumpa faiza ili Sasha akasuke anajua raise akisafiri labda saga safari za nje zitafunguka akusanye kusanye vijidolari kidogo
  7. Ulysses2784

    Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

    Tosamaganga 1999.....sitasahau kutembea hadi makutano ukitaka kwenda town...kiti moto ipamba.
  8. Ulysses2784

    Binti Aliyekamatwa na madawa EGYPT akihojiwa....

    inaonekana ubalozi wa tanzania haukuhusishwa sana maana hakuwa na passport ya Tanzania.Alikuwa na Passport ya Oman.Ila kwa taarifa zilizopo ni kwamba bado hajanyongwa ila yupo kizuizini!!
  9. Ulysses2784

    Binti Aliyekamatwa na madawa EGYPT akihojiwa....

    Nimeikuta hii video nikaona nishee na wanajamii wenzangu!! Inashangaza kidogo kuona mtuhumiwa kwa kesi kama hii akihojiwa na vyombo vya habari!!!
Back
Top Bottom