fareed uziel
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 657
- 708
Hapo kwa sisi tunaojua kusoma tu hata summary binde kuandikaSi ungeweka hata Summary tu? Hio title inachanganya mambo na sio title iwe ndio content ( waandishi wataelewa)
hiki kinaelezea jins watu kutoka bara walivo letwa kuja kuwauwa wazanzibarNashauri tafuta kitabu kinaitwa kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru. Kinaelezea mapinduzi kwa kina na chimbuko ya hali ilivyo sasa Zanzibar. Pia unaweza elewa kwa mini CCM haitoachia Zanzibar kirahisi maana waliichukua kwa gharama kubwa sana.
ndugu naomba kama una softcopy yake