Recent content by Ulimwengu Mbaya

  1. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

    kwenye siasa za nchi hii lolote linaweza kutokea itategemea na TISS CCM wanamtaka nani kwa wakati huo
  2. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu aishukuru CCM kwa Mchango wa kutengeneza Gari lake, asema Fedha atazipokea!

    CCM wanatafuta huruma kwa wananchi waonekane wanajali kumbe nyuma ya pazia ni wauaji wakubwa
  3. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

    Huyu mwamba ipo siku atesema hao watu
  4. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Marekani imezieleza Iran na Israel kwamba migogoro ya Mashariki ya Kati haipaswi kuongezeka

    Wajihadhari yasike yakatikea Yale Libyia
  5. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga kugoma kufanya biashara. utakufa njaa wewe na familia yako

    sisi wenye maduka hatufundishwi uchumi na punga kama wewe
  6. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Ziara za Lissu hazina Tija na matokeo Chanya kwa CHADEMA

    hilo la mwisho kwako ndiyo linalosababisha uone hakuna hoja
  7. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

    Kafulila nimjenga hoja mzuri tatito ni pale aliponunuliwa tu lakini sina tatizo anachoongea japo kuna sehemu anatupiga changa la macho kwa kutetea ugali wake
  8. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya kila mara ni upuuzi ulio upuuzi

    wewe mdiyo hujaelewa
  9. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uchaguzi 2025 CCM vs CHADEMA, Samia Suluhu vs Tundu Lissu

    acha ujimga uhuru hautolewi na rais unatolewa nakatiba
  10. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

    Siasa za maji taka hizi zitaisha lini ,nchi mzima mnataka tufanane ajili za kichawa hapana si Kila kitu kibapaswa kuungwa mkono na si Kila kitu kibapaswa kupingwa
  11. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania Ni chombo kipi cha habari ambacho kipo huru kwa sasa?

    baada ya nyie kuondoka kwenye vyombo hivyo tulivyokuwa tunategemea , sasa hivi tuna chawa tu na bado ninajiuliza shule za habari na maadili zipo , na kama zipo wale walimu waliowafundisha nyie hawakuacha wakuwarithi
  12. Ulimwengu Mbaya

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yapasuka vipande vipande kuna uwezekano wa kutoshiriki uchaguzi ujao kwa visingizio dhaifu

    hapo naona unarudiarudia kusoma ulichoandika kwa kujisifu
Back
Top Bottom