Swala hili sio simple vile unavyoisema. Kwanza, Kenya haikufunga Mipaka ila inawarudisha wale wanopiwa na kupatika na hiyo ugojwa pasipo jali wanatoka nchi ngani. Kama ni kuiga vile nchi zingine zinavyofanya, ,mbona wasipime wale wanaokuja Tanzania na kuwarudisha wakipatikana na maradhi pasipo...
Hiyo ni kulipiza kisasi yenye haiko. Kwa nini mukubali madereva wengine wenye wanaelekea nchi zingine lakini muzuiye wakenya pekee yake. Kwani wale wengine hawezi kuwaambukiza Corona?
Kama Rais mwenyewe amekataa statistics za Tanzania kutoka kwa laboratory ya nchi yake, atakubali za kenya kweli. Finger pointing and blame game iko mingi tanzania. Tuwache kudanganyana
Yeye Mwenyewe nadi ya Roho yake anjua ni nini alichotendea Mungu. Hi sio jmabo eti kufurahisha watu au kuonyesha watu mabo bali amtuafute Mungu wake, kisha atubu
Yule Mhubiri twamjua. Tapeli tena Mlevi. Hako na Kesi Kortini ya kumgoga Mtu kwa gari akiwa mlevi "Pastor Ng'ang'a is an Abusive and Adulterous Drunk" His Wife Alleges - Mpasho News
Hatred (or hate) is a deep and emotional extreme dislike that can be directed against individuals, entities, objects, or ideas. Hatred is often associated with feelings of anger and a disposition towards hostility. Commonly held moral rules, such as the Golden Rule, oppose universal hatred...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.