Mimi huwa naumia sana tena sana sana,tuko kwenye matatizo makubwa sana sisi kama wana-nchi wa Tanzania na serikali yetu,serikali vs chadema,chadema vs ccm,wanaharakati vs serikali,haki za binadamu vs srikali,in short ni 'joto hasira' kama asemavyo mwana dada Lady Jaydee.Now,badala ya kuelekeza...