Recent content by Ukweli na Uwazi

  1. U

    JamiiForums Tanzania Kipima Joto ITV upuuzi mtupu

    Ipo siku tanzania itakuwa na watu wenye uelewa na kujitambua. Pole sana mtoa mda kwa kuwa hujui ulisemalo
  2. U

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi imekataliwa kwenye Rasimu ya katiba-Bunge maalum

    I said it will never be and i mean it, if you don't believe just wait, time will tell
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kadhi imekataliwa kwenye Rasimu ya katiba-Bunge maalum

    Mahakama ya kadhi will never be in our constn
  4. U

    JamiiForums Tanzania Kuendesha mahakama ya "kadhi" kuna gharimu kiasi gani hasa?

    Ni watu waliofilisika kiakili kwa kushindwa kutenganisha mambo ya selikali na ya dini. Ivi unalazimishaje mambo ya dini yawe kwenye katiba? Ni ujinga tu na mawazo mfilisi
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

    Very logical, ni vema wakaondoka kujenga heshima zao na kuepusha kutafuna fedha za umma bila sababu za msingi
  6. U

    JamiiForums Tanzania Bunge la katiba fanyeni yote lakini kumbukeni kuwa Mungu yupo

    Naomba nianze kwa kusema binadam huwa wabishi sana lakini siku ikifika ameumwa sana huanza kukumbuka kuwa Mungu yupo na ikiwezekana huomba aletewe viongozi wa dini ili aombewe apone au ahakikishiwe safari salama anayoianza. Viburi vyote vya mwanadamu ni wakati akiwa mzima wa afya na si akiwa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete: Nipo tayari kukutana na UKAWA

    too late, walikuwa na kiburi cha nn? Mkapa amewakataa sasa wameanza kulegea, kama wamelikoroga walinywe
  8. U

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuwania tena uenyekiti CHADEMA

    ndiyo kuna haja
  9. U

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya inawaangusha ccm mda si mrefu

    Well said mkuu, mm nashangaa ivi hawa wenzetu wanashindwaje kushughulikia mambo yao ya kidini mpaka selikali iwasaidie? Nawakumbusha tu kuwa inchi hii haina dini nyerere alishasema na rasimu ya katiba imependekeza hivyo. Kuaanza kuleta tena mambo haya ni kujiingiza kwenye migogoro isiyo ya...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kweli bunge maalumu limepoteza weledi

    Good, wakumbushe hao, rais aliona mbali sana!
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kweli bunge maalumu limepoteza weledi

    Tumieni mahakama ya kadhi kwa manufaa ya waislam na iendeshwe hukohuko kidini, msituletee selekalini kwa kuwa haiwagusi watanzania wote, kama ni miguu kataneni hukohuko ss haituhusu, na kama kuna mtu anafikiri kuna siku mahakama ya kadhi itaingizwa kwenye katiba aendelee kusubiri majibu atayapata.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Kweli bunge maalumu limepoteza weledi

    Katika watu machizi ndiyo ww, ivi huoni mnataka kuleta migogoro ya kidi? unafikiri dini zingine haziwez kudai hizo mahakama? Acha kufikiri kwa kutumia makalio ww
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kweli bunge maalumu limepoteza weledi

    Yaani katika vitu ambavyo vimenichefua leo ni kusikia eti mojawapo ya kamati za bunge la katiba wanajadiri uwepo wa mahakama ya kadhi. Ivi hawajui kama wanataka kuleta mzozo usio wa lazima? Wasitake wakristo nao wakaanza kuongea. Mahakama ya kadhi ni suala la kidini tuwaachie wenye dini husika...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Ni lini Dunia itachukua hatua dhidi ya ISRAEL?

    Ww jipe moyo tu, lakini ukweli unajulikana juu ya ugaid hata kichaa anajua.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Ni lini Dunia itachukua hatua dhidi ya ISRAEL?

    Umeona nnchi ulizotaja, almost zote zimekuwa dominated na din moja ndiyo maana wengi huwa wanashindwa kutofautisha din na ugaid
Back
Top Bottom