Hamuezi fanya maendeleo kwa kutishian...wew unasema maandamano yanalengo la kufanya serikali isifanye kazi yake kwani wamesema wanafanya maandamano yasio na kikomo.Wakati raisi anazunguka kuwashukuru wapiga kura wapi uliskia maeneo aliopita watu wanalalamika hawakufanya kazi au mapato ya...
Kwa kweli anajua Mungu tu....hv uchunguzi wa hilo tukio la mauwaji ulifanyika lini??...nyie Polisi .Mbona kaa vile bila hata ya uchunguzi tayari mumeshaapata wahalifu...eti mnalihusisha na UKUTA...Je nasie wananchi tukiwa na hisia upande wa pili mtasemaje??.Hatuwezi ruhusu kucheza ma maisha ya watu.
Roho za marehemu zipumzike kwa amani.Mungu awape faraja na nguvu familia zao.Kwa upande wa Jeshi letu lazima mjipange haiwezekani mnafanya maandalizi ya nguvu kubwa kupambana na raia wema wanaotaka andamana kwa amani tena kwa kufuata sheria za nchi mshindwe kupambana na kibaka mpaka anawapokonya...
Kama ni kweli tukio limetokea na askari wetu wepoteza maisha...Basi Mungu aziweke Roho zao mahala pema peponi.Na ndugu zao pamoja na familia zao watoto,Mke na wazazi awatie faraja na nguvu katika kipindi hiki kigumu.Kwa upande wa majeshi yetu hii ni aibu na fedheha kubwa huwezi kujiandaa...
Kwa kweli Lipumba na mimi amenishangaza sana sana...wakati anajiuzulu hakuna hata mwanachama wa CUF aliemshawishi ilikua ni utashi wake.Na kipindi alichoondoka cha uchaguzi ni kipindi ambacho msaada wake mkubwa ulikuwa unahitajita ili kuweza kufanya chama cha cuf kiweze kufanya vzuri kwenye...
Mambo ya kusalitiana kwenye siasa haya yapo tu.Hata Msukuma alimsaliti Lowasa mchana kweupeeee!!!!.Tumuache mzee akapumzike kwa Amani kama angetaka kuweka mambo hadharani angeandika kwenye kitabu chake.Hajaandika basi tusonge mbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.