Okey new abandoning strategy,wataozaliwa ndio wakomaliwa DNA,ili invested manzi awe safe,FOR the God who is alive, shall the man's poor wisdom & authority survive forever ?
Mwanamme halisi hulali kwa mkweo,huajiriwi kwa mkeo,hulishwi n.a. mkeo,ndio wale unaishia kudandia wadada wenye hela mjini.Usubiri mke achune up one hapo.
NDIO mpaka mnapata dhihaka za kutunziwa wake,watoto na wanaume wenzenu,ni kujishushia heshima.
Hakuna dharau mbaya km mwanamme mwenzio...
Hakika umenena hakuna jinsi atalikwepa hilo,kwa sababu kama anaweza kujenga nyumba ni wapi kuwa hata mahari isingemshinda.Wanaume tunajitakia laana sana kwetu n.a. hata vizazi yetu.
Kwa sasa Nashauri huyu mama kwa vyovyote alivyojitoa asiweke focus yake kwenye tatizo ambalo limeshatokea kwa...
Sababu za kulaumiana ni nyingi,na inahitaji hekima ya mungu kuwaonyesha walaumu kuwa wewe ni mfano,vinginevyo wake kwa waume katika ndoa zitakuwa moto kila siku
-Kuhukumu :Matendo 28:1-6
-Kuongopa Ufunuo 20;7-8
-Kukata tamaa ya maisha-Numbers 32:6-10
_Hasira za machungu ya ndoa/mwenzi...
Wanajamii nahitaji kubadili majina yote matatu kwenye nyaraka kama Cheti cha kuzaliwa,Ubatizo,vitabulisho vya benki etc.Ningependa kufahamu njia fupi na isiyokuwa mlolongo au kuchukua muda mrefu.
Au kama kuna Uzi ambayo umeshawahi kuweka hapa Wenye kuota ufafanuzi ningependa mwenye ufahamu...
Kwanini ujione usiyefaa na uliyejaa mabaya tu? Badala ya kutazama yale yaliyo mabaya na yakushindwa katika historia yako, tazama mafanikio.
Kila binadamu ana kitu chema ndani yake. Ukishajua vitu hivyo, angalia kama vitu hivyo vilifanywa na mtu baki, usiyemjua ,unayemjua n.k.je utasema yeye ni...
Nashukuru sana mkuu.Naomba ufafanuzi katika kigezo namba 6,8 na 9,kwa hivyo vingine havina tatizo ninavikidhi.
Mtoto sio yatima,Bali amekuwa rejected tangu ujauzito na baba hataki kumtambua.
Nimekuelewa ndugu ila tukubaliane tu kwamba ukishampa mtu ujauzito n.a. kuishia kumharras na kiumbe hicho,huo ni zaidi ya unyama.Jiweke katika nafasi ya huyo mzazi kutaabika 5 yrs mkuu.Ana uwezo wa kuamua alitakalo na hana tatizo na hilo.Na huyu mama ni mtu anayejitambua na aliamua kuyabeba yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.