Kumbe zile mbwembwe zote za jpm kuwa ameanzisha miradi wananchi wameona upumbavu tu!
Nakuhakishieni the moment ccm wakikubali tume huru ya u haguzi ndo kifo chake jpm hataambuli hata 20 percent ya kura zote.
Labda atapata singida tu ambapo no jamii ya wajinga( hawana elimu)
Hakuna nchi duniani inachukulia elimu kitu cha kipuuzi kama Tanzania! Imagine tuna walimu wamehitimu halafu mashule hayana walimu? Tunajenga taifa la namna gani? Halafu tunakuja na rushwa za hovyo kama hizi kwamba fundisha seven month free ndio tukuajiri?
Are we serious?
Mana yake ilikuwa atakayeingia madarakani baaea ya jk expectation aongeze ajira zaidi mpaka fields zingine lakini huyu jamaa ameziban kabisa Hana mpango wa kuajiri hali ni mbaya
Jakaya mrisho kikwete. Nimemaliza kipindi chake na ndo mana nawasikitikia wanaomaliza kipindi hiki. Ambaye kamaliza kipindi Cha jk ana ajira labda Kama hakutaka mwenyewe. Mwaka gani ulipita bila jk kuajiri walimu na madactari wote nchi nzima!
Nawaona wanazulula na bahasha za kaki Kila siku hapa mpka nawaonea huruma. Jana nimetangaza kazi feki mtandani nimeshapa application Kama elfu moja hapa. Hi maana yake hali ni mbaya
Sisi tumetoa maoni na kuwasikitia wanaomaliza kipindi hiki Cha huyu dictator. Ajira kwa jk zilikuwa bwerer ambaye aligraduate hakuna aliyeko mtaani labda Kama alipenda mwenyewe
Nasikitika sana kuwaona graduates wanazurura zurura mtaani huku. Hakuna ajira tangu huyu bwana aingie madarakani yeye ni madege tu inatosha.
Tumeinjoy sana kipindi cha Rais Mstaafu jakaya Kikwete maana ajira nilikuwa bwerere serikalini mpaka tunazikataa tunaamua kuingia private hususani ualimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.