Nyimbo kama huleeleee mmmhhh. . . . na nyimbo kama sarafinaaaaa sarafina sarafina sarafinaaaa! Zinaimbwa sana maeneo mengi jijini dsm hasa maeneo ya kariakoo!
Duuuu nimestaajabu kwelikweli!
Muoga kama magufuli ambaye uwepo wake serikalini kwa zaidi ya miaka 20 hajawahi kuwatetea wannachi ama unazungumzia yule anayefanya maamuzi magumu any time!
Unajua magufuli kama magufuli hawezi kufanya maamuzi ya busara peke yake! sasa akikosekana kiongozi wa juu yake ataharibu kila kitu! walau kikwete aliingilia kati ile bomoabomoa, na pinda aliingilia kati ile tafrani na malori! Sasa yeye akiwa top unategemea nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.