Unakumbuka ule mgogoro wa malawi na tz ama rwanda na tz?

UkomboziMpya

JF-Expert Member
Jul 18, 2014
465
179
Hakika rais angekuwa magufuli leo tungepigana vita vya kipuuzi baina ya rwanda ama baina ya malawi!

Kwa kuweka kumbukumbu sawa: Lowassa the king alisema kuwa wapo tayari kama taifa na hawatetereki! Hii ni kawaida kabisa kutoa mkwara ili nidhamu iwepo!
 
Hapa nina uhakika kabisa magufuli angesema vikosi viende mara moja karibu na ziwa nyasa tayari kwa lolote!
 
Unajua magufuli kama magufuli hawezi kufanya maamuzi ya busara peke yake! sasa akikosekana kiongozi wa juu yake ataharibu kila kitu! walau kikwete aliingilia kati ile bomoabomoa, na pinda aliingilia kati ile tafrani na malori! Sasa yeye akiwa top unategemea nini?
 
Hatutaki Rais dhaifu na muoga muoga.period
 
Back
Top Bottom