Huyu ni binamu yake na JPM, alikuwa mwanasheria wa wizara ya madini na nishati miaka kama minne Iliyopita. Baadae alijiunga na MCC Tanzania kama Chief Legal Counsel. Na mwaka huu akachukua fomu kugombea ubunge .
Anao uwezo mkubwa katika maswala ya kisheria. Kumbukeni mwenye sauti ya mwisho ya...
Ni kweli kabisa pesa lazima iwe na thamani, ngoja tuanze kuheshimiana
Ukienda Mbweni viwanja vinaanzia million 50, ukirudi kesho yake ukikuti. Bora awanyooshe!
Awaache kivipi, ngoja awaonyeshe jinsi ya kufanya kazi maana wamesababisha nchi iwe kwenye dimbwi la umasikini
Nawapa hongera nyingi kwa kusimamia rasilimali za taifa
Big up President and PM
Wewe akili yako ni mbovu, huyu mwalimu wa kata elimu yake ni nzuri tena sana anayo masters of education. Mbona Simbachawene alikuwa konda na sasa ni waziri? Mbona Lusinde hata form four hajamaliza na ni mbunge,au mbona Sumaye alikuwa Waziri mkuu akiwa na diploma tu? Acha dharau za kipumbavu
Hapo ndo ninaona tofauti ya msomi na asiyekuwa msomi, labda utusaidie kutueleza hiyo course inaitwaje. Jaribu kufikiri kabla ya kuleta thread yako.
Tatizo ni mfumo unaotumiwa na viongozi wetu wa kulindana, na wala sio aina ya chuo alichosoma kiongozi. UDSM bado ni miongoni mwa vyuo bora barani...
Nachelea kuamini kuwa maaskofu wanaripoti moja kwa moja Vatican, Cardinal kawaida ndo mkuu wa mambo ya kikatoliki katika nchi pamoja na hayo anakuwepo pia balozi wa papa na lipo pia baraza la maaskofu ambalo ndo msemaji mkuu wa kanisa katika nchi. Panapotokea jambo la kukiuka maadili...
wadau naombeni mwenye nakala ya hukumu ya tanesco dhidi ya iptl iliyotolewa na jaji utamwa.
Maana nataka kujua kama mahakama iliamuru pesa iliyokuwa kwenye account ya escrow apatiwe iptl
Ndugu yangu nakuunga kabisa mkono, mimi mwenyewe ni mkatoliki pesa yoyote ya sadaka au ya msaada kwa ajili ya kanisa inapelekwa altare au inaingizwa kwenye account ya kanisa na inatangazwa kanisani na kumtaja mhisani aliyetoa hiyo pesa. Sasa inakuwaje iingizwe kwenye account yake binafsi? na je...
Nadhani ni kupotosha umma, zile fedha zimetokana na tanesco kuwa charged na Ilikuwa inatozwa hata kama umeme uzalishwe au la. Naamini hizi hela ni za umma maana tanesco ni shirika la umma, na wananchi tunapandishiwa umeme kwa sababu kama hizo. Nasisitiza fedha hizo ni za umma.
nadhani maana yake ni kwamba mbunge akiwa na elimu angalau ya kidato cha nne anaweza kufafanua makabrasha yanayoletwa na serikali na kuweza kuisimamia serikali ipasavyo. Kama atakuwa hana uelewa wowote atawezaje kufanya kazi zake za kuwakilisha wananchi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.