Recent content by Ukombozi Mahlangu

  1. U

    JamiiForums Tanzania IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

    Walivyo na uswahiba wa kijinga na Rwanda watanyamaza, ila hata hivyo IGP utamwonea waambie wale wala rushwa wa Uhamiaji.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nani kuwania Ubunge Iramba ikiwa Mwigulu akigombea Urais 2025?

    Aache ujinga huo aendelee na tozo zake za kijinga mwanaizaya yule. Kumbafu sake
  3. U

    JamiiForums Tanzania Usafiri Dar - Mtwara, King Yassin Tours hongera

    Umetisha mkuu!
  4. U

    JamiiForums Tanzania Usafiri Dar - Mtwara, King Yassin Tours hongera

    Kuna dereva mmoja wa King yasin anaitwa Ally ni mfupi huyo utazania mtoto lakini akikaa kwenye Mashine utampenda. Ni mmoja wa madereva bora kabisa.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Usafiri Dar - Mtwara, King Yassin Tours hongera

    Kuna mdada anaitwa Halima anang’oa mihogo balaa ana gari inaitwa “MAMA LAO” Weka mbali na watoto
  6. U

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa vyeo, mishahara na mengineyo: Watumishi wa umma mna maoni gani?

    Hawa ndio aina ya watu waliomzunguka rais wanamshauri, kwa mtindo huu watanzania wana safari ndefu, hivi ni kitu gani kimeshuka bei Tz? Ndg peleka ushauri wako kwa familia yako! Muache mwalimu atoe ya moyoni kama hajalipwa unataka aje kusifia hapa ujinga’Gademitti
  7. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Majimbo ambayo CCM haitoboi

    Tunduru ishu za Korosho zimewachefua wayao wamevurugwa vibaya mno labda waibe ndio ccm ishinde
Back
Top Bottom