Recent content by Ukiwa

  1. U

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yaweka wazi makusanyo ya kodi

    Sawa tumeona mapato yameongezeka lakini huu ukadiriaji wa kodi ongezeko la asilimia moja au zaidi hapa Arusha ni kuua biashara. Kwa kweli wengi tutafunga hamna jinsi
  2. U

    Waziri wa Kilimo, mifugo na Uvuvi tatua matatizo ya wastaafu waliokua Mashirika ya Utafiti TARO na T

    Mashirika haya mawili yaliundwa kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 01/07/1982 kwa nia ya kuongeza ufanisi kwa kuwahamisha wafanyakazi wa kitengo cha utafiti wa iliyokuwa Wizara ya Kilimo na Mifugo wakati huo na kuwapeleka kwenye mashirika hayo mawili.Hata hivyo mnamo tarehe 30/06/1989 ajira za...
  3. U

    Rais Magufuli acha kuwaumiza Watumishi wa umma

    Kama kuna mtu mwenye uchungu na nchi hii na kutakia wananchi wake heri ni Raisi wetu JPM. Tunachotakiwa kufanya ni kumpa support inayohitajika na si kumkatisha tamaa. Wengine wana mambo yao ambayo wangetaka yafanyike kwa haraka lkn unapokua kiongozi lazima uwe na miapangilio, lipi litangulie...
  4. U

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Acha kushindana na kila kitu raisi anachotolea maamuzi. Tumekuchoka. Acha kutafuta sifa za kitoto. U r too radical.
  5. U

    Arusha: Mpaka wa Kenya na Tanzania, Namanga wafungwa

    Wacha mambo ya kijinga kwenye maswala serious. yeye mkuu ndio yuko Namanga. wapinzani Tz sijui wavuta bangi?
  6. U

    Hivi wapinzani wa nchi hii wanasimamia nini au mlengo gani?

    Wapinzani Tz wamechoka kiasi hawana direction. wanasubiri kupinga kila kitu raisi wetu anachofanya ambacho ni cha heri kwa watanzania. Sasa km mwenyekiti wao anatuhuma nzito za kuuza ngada atatueleza nini watanzania wenye akili timamu. Kageuza chama ndio kimbilio la wanya madawa ya kulevya...
  7. U

    Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Inawahusu nini Wakenya. Wanafiki wakubwa. Hakuna mtu mzalendo kama raisi wetu. Sio huyo wa kwao mbinafsi hawauoni.
  8. U

    Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Hamia Kenya basi tujue moja. Kama ni kuzuru mbona wanahaha kuja TZ
  9. U

    Chuki ya UKAWA kwa Makonda ni kwa utendaji kazi wake

    Jambo ambalo Ukawa wanatakiwa wajiulize je hivi vyama vyao ni institution au ni mali ya watu binafsi. CCM ni institution na sio mali ya mtu kama vyama vya upinzani hapa nchini. Kwa hili wasipoweza kulitatua kamwe hawataiona ikulu kwa karne moja ijayo. Poleni kwa kukosa upeo. Vile vile...
  10. U

    Chuki ya UKAWA kwa Makonda ni kwa utendaji kazi wake

    Umenena haswa kwa sababu issue ya vita ya madawa ya kulevya haiongelewi na hawa jamaa wao ni vyeti tuu. Wauza madawa na wao lao moja.
  11. U

    Yahya Msangi: Bunge letu limekuwa kichaka cha wahalifu

    Umenena Msangi. Nashangaa hata mimi hiki kitu kupewa coverage isiostahili. Kweli kupambana na wauza unga ni kazi.
  12. U

    Kitila Mkumbo: Kwa staili ya uongozi wa rais Magufuli tusingetarajia Makonda hadi leo awe madarakani

    Mwa Mwache raisi achape kazi. Msimpangie ya kufanya. Subirini na nyie mkiwa raisi mtakua na maamuzi yenu.
  13. U

    Mbowe: Madaktari msiende Kenya, Rais anacheza na maisha yenu, Kenya sio salama kwa sasa

    K Kwa nini mnawaamulia hao madaktari. Raisi alivyotoa ruhusa hiyo haitoshi na kwa kwamba nyie na huyo Mbowe wenu ndio anajua kua kuna usalama au la. Subirini utakapokua raisi na wewe utoe maamui yako. Kwa sasa raisi ni Dr. John Pombe Magufuli.
  14. U

    Afisa uhamiaji mkoa wa Dar, John Msumule

    Kwa Afisa Uhamiaji Mkoa wa DAR. Pamoja na mapendekezo yote uliyopewa kuhusu wahamiaji na wanaofanyakazi bila vibali kuna mkenya anafahamika kwa jina la Timoth John Kamau. Yupo hapa Dar kwa miaka zaidi ya mitano kazi yake ni kutengeneza madawa ya mifugo bandia na madawa ya tiba mbadala. Hana...
Back
Top Bottom