Recent content by ukerewekwetu

  1. U

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Nafikiri hamjanielewa nyie watu,naifahamu Gran Melia maana nyuma ya Gran Melia nina nyumba yangu,kwa kifupi tumetengana HATUA zisizozidi 50 kutoka nyumba yangu niliyoijenga kwa jasho langu na hiyo Gran Melia,hiyo Hotel tangu inaanza kujengwa naiona. Na tatizo langu sio kwa Bwana BASHITE kulala...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Hiko chumba ndio cha Bei ya chini kabisa Gran Melia Hotel,nilikuwa na rafiki Jaji wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika(ACHPR),alikuwa analala chumba cha USD 3450 per day na hiyo ni mwaka 2022,usilete ushamba wa Kakonko
  3. U

    JamiiForums Tanzania Zahera akitoa huu mwezi basi atakaa msimu mzima

    Yaani Center Half acheze Mkongwe Erasto Nyoni ashindane mbio na wale madogo wa 2000's??si atavunjika nyonga tu maana akili inataka lakini mwili unakataa
  4. U

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwanahalisi: Makonda afadhiliwa na mataikuni wenye maslahi Ngorongoro. Atumia 6.2M ya malazi kwa siku

    Unafahamu gharama ya kulala Gran Melia Hotel Arusha kwa siku au??nadhani unalinganisha gharama na vi-Hotel uchwara vya huko Kibondo kwenye vumbi mpaka makalioni,tembea Uone Muha wewe
  5. U

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mtangazaji Gerald Hando

    Ukute nawe ni Mwanaume halafu unauliza Mwanaume mwenzako yupo wapi,dalili mbaya sana hizo
  6. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anataka nimuoe, nahisi wameniunganisha naye

    Dalili za kishoga hizo
  7. U

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sijaona klabu yoyote ile ya kuifunga Yanga SC ukandaa huu wa Afrika Mashariki na Kati

    Ligi ilianza wiki mbili zilizopita na katika michezo yote iliyochezwa hakujakuwa na malalamiko dhidi ya marefa,tafadhali kuanzia mechi ya Yanga leo hali iwe shwari,maana mmezoea nyie
  8. U

    JamiiForums Tanzania FT: Kagera sugar FC 0-2 Yanga SC | NBC Premier League | Kaitaba Stadium | 29.08.2024

    Tangu ligi imeanza hakujakuwa na malalamiko kwa Waamuzi kwamba wanakosea,sasa kuanzia leo hali hiyo iendelee,sio wanapocheza Yanga ndio kuwe na makosa ya maamuzi mnayosemaga ni makosa ya kibinadamu
  9. U

    JamiiForums Tanzania Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

    Hawana website wala namba ya simu
  10. U

    JamiiForums Tanzania Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

    Nawashukuru kwa mawazo wandugu hata kwa wale mlionishambulia. Mnaosema nimripoti kwa KVant wenyewe nimeshindwa maana hawana active Website hivyo sijapata namba ya simu wala Email. Pia mimi nipo Kigamboni na Kiwanda kipo Arusha hivyo siwezi kwenda Arusha. Nadhani niache tu kikubwa mnaokunywa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

    Ndio maana nami ningependa kuwapa taarifa wenye kiwanda moja kwa moja na sio kwa Mjumbe sijui Polisi NO. Kuwapa taarifa hao hawakawii kunichoma kwa hawa wahuni kwamba tumeambiwa na jirani yako UKEREWEKWETU kwamba unazalisha vinywaji feki,mwisho wa siku nikajihatarishia maisha yangu
  12. U

    JamiiForums Tanzania Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

    Ndio hawana hata website wala namba ya simu nimesearch hapa. Taarifa za juu nimeona anwani kwenye chupa yao wapo Arusha
  13. U

    JamiiForums Tanzania Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

    Nisaidie contact zao tafadhali,sina roho mbaya nae,kinachokera ni kelele na usumbufu anaotusababishia majirani kwa shughuli zake zisizo halali,kwa nini asiende kuifanyia mahali ambako hatakuwa kero kwa wengine??
  14. U

    JamiiForums Tanzania Jirani anazalisha K Vant feki na kuziingiza sokoni, nimripoti wapi?

    Ni nyumba jirani na yangu lakini huyu ni mpangaji. Usiku kucha ni kelele za kiwanda chake feki cha kuzalisha KVant feki na kuzijaza kwenye chupa za KVant. Ni kazi inayofanyika usiku tu. Nimripoti wapi haramia huyu maana naamini vinywaji hivyo feki vinaathiri wanywaji huko nje kwani havina ubora...
Back
Top Bottom