Haahaahahaa yaani huyu mleta mada kachanganyikiwa,acha nimwambie,wewe umejitolea hiyo mwenye bila familia yangu nimejitolea 4bilioni kama sadaka katika pato kangu ili kuwezesha mabadiliko.
Nakupenda na kukuheshimu sana dr,lakini katika hili ulilolitoa leo siwezi kukuunga mkono kamwee,naomba tu upumzike kwa amani nami niendelee na hii safari niliyoichagua.
Nakutakia maisha mema ya bila siasa ndani ya vyama kama ulivyohaidi.
Katika watu ambao ni wasaliti katika Nchi hii,Mwakyembe ni namba moja,maana kama angekua na uzalendo kamwe asingeficha ukweli wa report yake ya RICHMOND na kuwafanya watanzania kuwa gizani mpaka leo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.