YAHAYAMOHAMED1970
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 229
- 96
kuna uthibitisho bila shaka kwamba pesa wanazotumia chadema/ukawa kwenye kampeni ni za rostam aziz -kwa mujibu wa dr. slaa
sasa najiuliza mengine wanayoahidi watayatekeleza vp?
hauwezi ukatumia pesa ya rostam halafu ukaahidi kuboresha ukusanyaji kodi kwa makampuni ya simu.
hauwezi ukatumia pesa ya kalamagi kwenye kampeni halafu ukahadaa watz utaboresha makusanyo bandarini.
wanabwabwaja watafanya yote hayo lowasa kibaka akiwa rais.
uongo, uongo, uongo. tumejifunza yaliyotokea kwa kikwete na wafanyabiashara wake. watz tuamke tuwakatae hawa ukawa.