Recent content by ukara-uk

  1. U

    Prof. Mwandosya atoa ufafanuzi juu ya elimu yake

    malisa amesoma jk nyerere au minaki?
  2. U

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    walikuwa na 23 wabunge wa kuchaguliwa
  3. U

    Diwani wa CHADEMA atelekeza Kata kwa Miaka 4, Wananchi wakosa Muwakilishi

    UNAMMANISHA ILANGALA-KAKUKURU Juliana, KATA YA ILANGARA KWA SASA IMEGAWANYWA NA KUWA NA KATA MBILI AMBAZO NI ILANGALA NA KAKUKURU, HII NI KATA NGUMU SANA KWA CCM TOKA MWAKA 1995, na sababu kubwa iliyofanya kugawanywa ni ccm kuhofia kuangushwa tena na sababu kata ya kakukuru wana hisi wanaweza...
  4. U

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    kama skosei ukerewe kuna vijiji 76 , vijiji viwili vimeenda kwa chama gani?
  5. U

    Wanakigoma tunakusubiri mbunge wetu ZZK utuambie chakuifanya CHADEMA na unafiki wake

    kwa taarifa slaa alikuwa bunge wa karatu toka mwaka 1995 mda huo nadhani zito bado alikuwa bado anategemea wazazi wake
  6. U

    Muhimu: Kulinda ajira za wazawa Tanzania...

    nape na ccm yenu kwa kweli mnachekesha,chukulia mfano wa mgodi wa north mara na buzwagi na bulyanhulu,kuna graduate engineers kutoka ghana ambapo kuna graduate kibao wenye proffessional katika fan za uhandisi migodi na geologia,inakuwaje ,mfano technical services manager au mining manager awe...
  7. U

    Hivi 'chopa' ya CHADEMA inatumika Arusha na Moshi pekee?

    kwa taarifa yako ukerewe na mwanza walishajikomboa kutoka kwa chama cha wauza unga (CCM) halimashauri ya ukerewe hiko chini ya chadema,ccm ukerewe nzima ina madiwan watatu tu,toka dk slaa amwambie yule mama jambazi getrude mongera, wananchi wa ukerewe walimuelewa dr slaa ,na wakasema hapana kwa ccm
  8. U

    Selikali mmekopa Stanbic sasa wanatukomesha

    Kwa mazingira ninayofanya kazi yalinilazimisha nifungue account stanbic hili mshahara wangu uwe unapita huko,kinachoniumiza ni makato ya 12000/= kwa mwez,kutoka zamani ambambo ilikuwa unakatwa 2000/= kwa mwez ,nilijaribu kuwambia maofisa wa benk wakasema gharama zimepanda za uendeshaji wa...
  9. U

    Ada na malipo Ualimu Balaaaa

    Selkali ya ccm hiko likzo kama baraza la madiwan linatenga bajeti kwa ajiri ya ukalabati wa vyuo na shule ,then wanawambia wanafunzi kuchangia hii inaonyesha jinsi selkali ya ccm ilivyo ya kifisadi na wakuu wa chuo wanatumia mwanya huo kuwakamua wanafunzi pamoja na wazazi wao, mfano chuo cha...
  10. U

    Ada na malipo Ualimu Balaaaa

    MICHANGOMichango mingine ifuatayo iwekwe kwenye A/C 51403500048 jina la akaunti ni KASULU T.C. PROJECT, Benki yaNMB tawi la Kasulu. Pay-in slip yake uje nayo ikiwa imeandikwa jina lako kamili .1. Fedha ya kitambulisho cha Chuo Tshs 5,000/=2. Fedha ya ukarabati Tshs 20,000/=(Bodi)3. Fedha ya...
  11. U

    Green guard wa CCM wanapeana vyeti,Tendwa ulitaka ushahidi huo

    ulinzi na usalama nalo ni tatzo koz ccm inadai haiwafundishi vijana mambo ya ulinzi na usalama
  12. U

    CUF: Serikali ilichukulie hatua gazeti la Tanzania Daima kwa uchochezi wa kidini!

    Waraka wa siri kwa waislamu wote kuhusu uchaguzi mkuu 2010
  13. U

    CUF: Serikali ilichukulie hatua gazeti la Tanzania Daima kwa uchochezi wa kidini!

    waraka wa siri kwa waislamu wote kuelekea uchaguzi mkuu,hukipitia huo waraka hutaona jins cuf kilivyo chama cha kidin
  14. U

    Nchimbi: Kambi ya upinzani ni waongo na ni wazushi

    kwa mwenenendo huu wa viongoz wa itaifa wa selkali ya ccm itaifikisha tanzania mahali pabaya, kinana kuwa jangili na wakati ni katibu wa ccm,huku ccm bado inauguza majeraha ya EPA,RICHMOND,MEREMETA, ccm inastahili adhabu kubwa na wananchi wachukue hatua kwa sasa
Back
Top Bottom